Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

Nilikuwa pale 1988 mpaka 1991, group 4 (la umeme) enzi za Mbungi na Shabani (umeme), Mwakalindile (namba), Anand (mhindi wa namba), Trut, Mrs Mwakalindile (Chemistry), Mchili (Namba), Msigomba, Kitomari (Kiswahili), Saka, Mwampaja Headmaster niliyemkuta, akafuatiwa Nkondokaya. Na wengine wengi
Daah shikamoo anko me mtoto wa juzi pale,,, Ila kitomari kanifu dsha alkua wa chemistry sio kiswahil
 
Elimu ni ufunguo wa maisha

Elimu ni mwanga

Elimu nidhamu na kazi


Primary schools.
Enzi hizo nakariri tuu hata sielew maana ya haya maneno
 
Huko chini sizikumbuki ila nakumbuka tu ya chuo pale getini herufi kubwa

"ARDHI NI HAZINA"

Nadhani mshapajua
 
Back
Top Bottom