POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

Mbona Δ·una baadhi ya waandishi wanasema simba wamegoma kucheza kesho kutokana na leo kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho, kuna ukweli?
 
Mbona Δ·una baadhi ya waandishi wanasema simba wamegoma kucheza kesho kutokana na leo kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho, kuna ukweli?
Waandishi sio timu ya Simba, subiria taarifa rasmi toka kwa klabu husika. Mnapenda kubeba kila mnalosikia
 
Mpira ushachezwa huu ng'aeni macho tu hapa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuna madunduka yamekufa magoli, zaidi ya mawili.
Mganga wao, anajaribu kuileta mvua imemgomea. Kuna watu watapoteana hapa. Nikitoka kwa Mkapa nitarudi. πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Natabiri kua kuna uwezekano mashabiki wa Simba wengi kupoteza Maisha au kuzimia. Cox wengi wanajihakikishia ushindi. Wanaenda na matokeo Yao. For me, I always prepare for the worst while I'm waiting for the best
safi sanaa sister maneno ya Lily wayne kwenye ngoma yake inaitwa john kama sikosei
 
Kwahiyo kolo anataka kukimbia game... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji81]

Anyway Kila la kheri Dar Young Africans [emoji172][emoji169]
 
Leo ndio ile siku ya " hatumtaki Mangungu"
"Moo bahili"
" Jiisiiemu anatuharibia ligi, wachezaji wetu wamehongwa"
" Fadlu aondoke"
"Kamara shati tu lile Bora Ali Salim asingefungwa magoli mepesi namna ile"
 
Naunga mkono hoja tajiri huna baya tukutane kesho VIP A 😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…