Tubaki kwenye hoja ya kuazimana makocha maana naona unataka kuikimbia kwa kumung'unya maneno na kuongea lugha za kimazingaombwe. Tutajie hao makocha ambao Coastal na Simba wameazimana.
Please Moderator , ActivePaw na wengine msifute wala kuunganisha huu uzi.
Kimsingi wana jangwani jana tulikwazika kwa kukimbiwa na baby wetu wakati tulishapaka mkongo. Wacha tuenjoy na kuendeleza utani wa jadi baada ya Vugagula FC a.k.a Wazee FC kutukimbia.
Mwanachiiiiiii tuendelee hapa.kwa kutupia picha au video ya kukera hawa waganga FC waliokuja na mabasi 6 yaliyojaa video vifupi vikiwa vimebeba ndevu za konokono, maziwa ya kuku, miiba ya nungunungu n.k