Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Police ni sehemu ngumu kiutawala kumuondoa Wambura hakuwezi kuleta tija kiutendaji nadhani kuna haja ya kuliunda upya jeshi la Police ili liendelee na matakwa ya Uhuru, Jeshi letu limekuwa ni kitengo cha kulinda maslahi ya Viongozi waliopo kwenye madaraka badala yakulinda raia jeshi linalinda watawala linapokea amri kutoka kwa viongozi badala ya kufuta katiba na muongozo wa jeshi hilo
 
Acha kubisha kuhusu IGP Wambura upande ni Mzakani tena Kijiji kimoja nami na mwingine ni Mkurya. Acha kubisha!!!
Huyo kwao ni kiagata kule,so possibly akawa na damu ya kizanaki na kikurya as ni maeneo yanayokaliwa na makabila yote hayo mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…