and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hapana mkuu, mie hata simfahamu.Kwahiyo unatoka Buswege?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, mie hata simfahamu.Kwahiyo unatoka Buswege?
Aliyonayo Aliyekuzaa inayonuka Dunia nzima.Wewe ni qoumer
Labda Wewe atakuelewa na kinachonishangaza zaidi ni kwamba Ukoo wa Sirro na Wetu ni wa Jamii ya Kizanaki na hata Matukio mengi huwa tunakuwa nae pamoja na Mpwa wake Kipenzi Chacha Matusi aliyeko UN kama ilivyo kwa aliyekuwa Mkuu wa JKT Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga. Huwa nachukia kweli kweli Mijitu mibishi mibishi kama huyo na hao Wenzake hapo.Sirro ni mzanaki, amini kwa 100%
Idiot.Hao wote ni wakurya
Wazanaki ni kabila dogo mno kama eneo la kata
Wala sio maarufu ni watu wavivu na waoga, wanaonewa sana wakurya
Wazanaki wamebahatika kumtoa baba wa Taifa tu
Lakini mkoani Mara ni kakabila kadogo kanyonge tu
Bado 25% yao wapo huko. TISS wanaingia popote utake usitake au hata utumie nini watakuwepo tu.JW waliwafurusha TISS waliopenyezwa Jeshini
Inakuuma nini?yeye kila mwenye cheo wa huko anasema mzanaki 😂
Uko sahihi 100%, ila kuna Wapumbavu ( Mapopoma ) watakubishia.Huyu jamaa hakustaili kuwa kiongozi.
Ana tuhuma nyingi za uonevu,unyanyasaji na ukatili kwa askari wa wadogo [wa vyeo vidogo]na ikumbukwe pia amehusishwa na utekwaji na hata vifo kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani,ni mtu mwenye kisasi sana.
Mapungufu ya TISS kwa baadhi yao na Vitengo vyao tulishasems sana hapa ila tunapuuzwa na hatueleweki.Rais ateue Waziri Meja Jenerali wa JWTZ hawa watu huwa ni poa sana kama alivyokuwa Kimario. IGP wapo vijana wasomi ambao wana exposure ya mambo mf Suzana Kaganda. Hata nafasi hiyo ikishindikana mpate JWTZ. Awadhi naye aondoke. TISS imebadilishiwa mno ma DGIS inawezekana kuna shida ndani, Pafumuliwe na kuchunguzwa. Nayo ifike mahala ikamatwa na Brig General. Hakuna namna.Mtaniambia ufanisi wake.
SHIDA ya huyo kichwa panzi ni kujimwambafai Bora umemtia tope mdomoniNdugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...
duh ila sura yake tu inajieleza.Huyu jamaa hakustaili kuwa kiongozi.
Ana tuhuma nyingi za uonevu,unyanyasaji na ukatili kwa askari wa wadogo [wa vyeo vidogo]na ikumbukwe pia amehusishwa na utekwaji na hata vifo kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani,ni mtu mwenye kisasi sana.
Na Wewe kakutia nini huko 'Kwinginekoni' Kwako?SHIDA ya huyo kichwa panzi ni kujimwambafai Bora umemtia tope mdomoni
Wewe hii uficho wa jina lako halisi, usikufanye umchafue mtu kwa chuki zako. Uliyemquote umeona kamsifia ni Askari mzuri, toka akiwa na cheo kidogo. Ukaona umpake hayo matope yako.Huyu jamaa hakustaili kuwa kiongozi.
Ana tuhuma nyingi za uonevu,unyanyasaji na ukatili kwa askari wa wadogo [wa vyeo vidogo]na ikumbukwe pia amehusishwa na utekwaji na hata vifo kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani,ni mtu mwenye kisasi sana.
acha uchizi wako ,wambura ni mkuryaNa Wewe kakutia nini huko 'Kwinginekoni' Kwako?
Kwa lile sakata la kijana wake hawezi kupewaJumatano asubuhi Sir George Simbachawene anaapishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kuchukua nafasi ya Hamad Masauni; tunzeni hii post
Poti wako hata ukimuangalia usoni, anaonekana ana IQ ndogo sana yo lead such a big organisationUmetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Mumeo?acha uchizi wako ,wambura ni mkurya
Ya mamako ina mategeAliyonayo Aliyekuzaa inayonuka Dunia nzima.
Ya Mama yako ina Ukoma Uliotukuka.Ya mamako ina matege
Vijana muwe mnatulia kabla ya kuandika,aliyekwamia siasa kuna sehemu haijafika amekudharau sana.Sijui kama kuna IGP Ataiweza polisi maana tofauti na wenzeo kama jeshi la wananchi hawa wanatumika kisiasa sana ....too much maelekezo mpaka wao wameamua tu oda ni oda kikubwa itoke kwa mkubwa!
Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Mnyika nasema sio Polisi