Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Sirro ni mzanaki, amini kwa 100%
Labda Wewe atakuelewa na kinachonishangaza zaidi ni kwamba Ukoo wa Sirro na Wetu ni wa Jamii ya Kizanaki na hata Matukio mengi huwa tunakuwa nae pamoja na Mpwa wake Kipenzi Chacha Matusi aliyeko UN kama ilivyo kwa aliyekuwa Mkuu wa JKT Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga. Huwa nachukia kweli kweli Mijitu mibishi mibishi kama huyo na hao Wenzake hapo.
 
Huyu jamaa hakustaili kuwa kiongozi.
Ana tuhuma nyingi za uonevu,unyanyasaji na ukatili kwa askari wa wadogo [wa vyeo vidogo]na ikumbukwe pia amehusishwa na utekwaji na hata vifo kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani,ni mtu mwenye kisasi sana.
Uko sahihi 100%, ila kuna Wapumbavu ( Mapopoma ) watakubishia.
 
Rais ateue Waziri Meja Jenerali wa JWTZ hawa watu huwa ni poa sana kama alivyokuwa Kimario. IGP wapo vijana wasomi ambao wana exposure ya mambo mf Suzana Kaganda. Hata nafasi hiyo ikishindikana mpate JWTZ. Awadhi naye aondoke. TISS imebadilishiwa mno ma DGIS inawezekana kuna shida ndani, Pafumuliwe na kuchunguzwa. Nayo ifike mahala ikamatwa na Brig General. Hakuna namna.Mtaniambia ufanisi wake.
Mapungufu ya TISS kwa baadhi yao na Vitengo vyao tulishasems sana hapa ila tunapuuzwa na hatueleweki.
 
Ndugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...
SHIDA ya huyo kichwa panzi ni kujimwambafai Bora umemtia tope mdomoni
 
Huyu jamaa hakustaili kuwa kiongozi.
Ana tuhuma nyingi za uonevu,unyanyasaji na ukatili kwa askari wa wadogo [wa vyeo vidogo]na ikumbukwe pia amehusishwa na utekwaji na hata vifo kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani,ni mtu mwenye kisasi sana.
duh ila sura yake tu inajieleza.
ana sura ya kikatili.
mwanzoni nilimuwazia hivi, baadaye nikasema ah ni sura tu. sasa nakutana na hiki unaeleza nimebaki kuduwaa. ana sura ya kikauzu/kikatili
 
Huyu jamaa hakustaili kuwa kiongozi.
Ana tuhuma nyingi za uonevu,unyanyasaji na ukatili kwa askari wa wadogo [wa vyeo vidogo]na ikumbukwe pia amehusishwa na utekwaji na hata vifo kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani,ni mtu mwenye kisasi sana.
Wewe hii uficho wa jina lako halisi, usikufanye umchafue mtu kwa chuki zako. Uliyemquote umeona kamsifia ni Askari mzuri, toka akiwa na cheo kidogo. Ukaona umpake hayo matope yako.

Wengi mnapenda mtu mnafiki, huyu kanyooka hata ndugu ukikosea anakuweka ndani. Hana mchezo na ndiye aliyedeal na majambazi kukatulia wanamjua. So kama unataka watu hawafanyi kazi awachekee si huyu. Zaidi si muongeaji ni mchapa kazi. Wanaomjua vizuri wanamuelewa.
 
Back
Top Bottom