Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Acha kubisha kuhusu IGP Wambura upande ni Mzakani tena Kijiji kimoja nami na mwingine ni Mkurya. Acha kubisha!!!
Ndugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...
 
Hata Wazanaki wana Wambura, Marwa.
Hii dunia hee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nani kakataa hayo majina. Wakurya tuna Magesa na Wasukuma wana Magesa, majina yapo kila sehemu. Sasa unaona mtu anawapa kabila na si lenu, ukubali tu ndiyo? Hatuna Uzanaki why mnatulazimisha. Wewe kabila lako unalijua si ndiyo? Nikupe hapa kabila lingine, utakubali tu. Ukweli lazima usemwe.
 
Ndugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...
Kumbe Wambura ndugu yako?
Mbuya mbuya mura!🥹
Popoma hajakujua kabisa
 
Sijui kama kuna IGP Ataiweza polisi maana tofauti na wenzeo kama jeshi la wananchi hawa wanatumika kisiasa sana ....too much maelekezo mpaka wao wameamua tu oda ni oda kikubwa itoke kwa mkubwa!
Hilo ni suala la kimuundo zaidi. Sheria na katiba zinawafunga, zinatoa upenyo wao kutumika. Until haya mambo yatakapo badilika IGO wengi wataonekana vilaza

Lakin pia hiyo taasis imekuwa invaded na viongozi ambao ni wa usalama. Hili lipo wazi
 
Kiutendaji polisi hawawezi kuwachunguza TISS katika dhana halisi na ya kweli ya uchunguzi;
1. Polisi wanawaogopa TISS kuliko JWTZ
2. Kwa sbb za kiutendaji wao wana report moja kwa moja kwa Rais, Hiyo inawakosesha polisi confidence.
 
Wambura ana ndugu wengi jf
Kwaiyo tumtumbue au tumwache
Hiyo mtajaza wenyewe… sisi ndugu zake hatukumtuma kwenda kuwa domo zege na kuangalia uhai wa watu unapotezwa bure yeye hata tamko la magumashi - Kimya. Tunamsubiri nyumbani tumuulize, “ hivi ni Nani alikuwekea super glue mdomoni hata usitokelezee kusema kinacho endelea humo ndani Kwa vijana unao waongoza ?”
 
Mchapeni na viboko kabisa
 
Hii dunia hee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nani kakataa hayo majina. Wakurya tuna Magesa na Wasukuma wana Magesa, majina yapo kila sehemu. Sasa unaona mtu anawapa kabila na si lenu, ukubali tu ndiyo? Hatuna Uzanaki why mnatulazimisha. Wewe kabila lako unalijua si ndiyo? Nikupe hapa kabila lingine, utakubali tu. Ukweli lazima usemwe.
Na hakuna sehemu nimekubishia, kuna mzungu anaitwa Mabala.
 
Sijui kama kuna IGP Ataiweza polisi maana tofauti na wenzeo kama jeshi la wananchi hawa wanatumika kisiasa sana ....too much maelekezo mpaka wao wameamua tu oda ni oda kikubwa itoke kwa mkubwa!
Reform kubwa inatakiwa kufanywa kwenye tanpol. Bado Lina mentality ya kikoloni. Linatakiwa liwe Police Service na sio Police Force
 
Wambura kiutendaji ni mzuri sana tu nadhani baadhi ya maelekezo yanatoka juu yake hawezi kupinga.

Ifike muda nafasi kama IGP au CDF zisiwe za uteuzi, ni ngumu sana mtumwa kutenda kinyume na bwana wake.

Kibaya zaidi nowadays viongozi wa kisiasa wanaabudiwa sana so akishasema inafuata utekelezaji bila kujali taaluma inasemaje!
 
Siyo kweli hata kidogo, kitu Cha MUHIMU zaidi ni kuwa na Katiba ya nchi iliyo nzuri, sambamba na Sheria zingine zote zilizopo katika nchi pia ziwe nzuri na kumuweka kila mtu kuwa yupo chini ya Sheria, No one should be above the law. Hii itasaidia Sana ktk kukomesha haya maovu yanayoendelea kutokea kila siku.
Nakupatia Mfano mmoja ulio hai kuhusiana na suala hili,
Assassination orders kadhaa ziliwahi kutolewa na Watawala wakuu wa kisiasa wa nchi ya Afrika ya Kusini ili kumuua Mbunge kijana Bw. Julius Malema, ambaye alionekana kuwa anawasumbua sana waliokuwa Watawala wa nchi hiyo. Unexpectedly, Kamati za Ulinzi na Usalama zilizopo ndani ya Mamlaka ya Ujasusi ya nchi hiyo ambazo Zina Mamlaka ya mwisho kabisa ya kuridhia amri hizo kabla ya kutekelezwa kwake zilikataa kaa-kata kuidhinisha jambo hilo la kumuua Julius Malema. All Assassination Orders for Julius Malema were DISAPPROVED, hence rejected completely by the Security Committees of the National Intelligence Agency of South Africa, sababu zikiwa kwamba, kamwe Julius Malema SIYO kitisho Cha usalama katika nchi hiyo na Wala Mamlaka hiyo kazi yake siyo kuua Watu, bali ni kuondoa matishio ya usalama kwa nchi

Aidha, baadhi ya wajumbe wazalendo wa Kamati hizo za Usalama wa Taifa walipoona amri hizo za kumuua Mbunge Julius Malema zilikuwa zinatolewa mara nyingi sana, waliamua kuvuruga makusudi Mpango huo kwa kuvujisha kwa umma taarifa hizo nyeti Sana ili kuzima kabisa jaribio Hilo la Mauaji.
 
Back
Top Bottom