Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.

Mambo vuruvuru. haieleweki nani ni nani. Mpaka nashangaa uwezo wa kuongoza kama upo au ni jeshi lisilo na mwenyewe
 
Kosa la Wambura ni kipi? Au ndio mbuzi wa kafara?

Kama kiongozi, halafu kuna kesi kama hizi kila siku ambazo hazina majibu, nani anayebeba huo mzigo? Mwezi uliopita walienda Mbeya kwenye mkutano mdogo tu, wakawafanyia wapinzani mambo ya ajabu ajabu, tena waziwazi. Na hilo nalo anasingiziwa?
Uongozi unatudai mambo mengi ikiwemo kuwajibika kama mambo yameharibika
 
Huyu naye muongo, muombe akutajie wako wangapi, idadi ya wakike na wa kiume. Wazazi, na mengine. Humu ndani kumbe watu huongea uongo na watu tunawaamini dah. Leo nimeshangaa, usiku nitamcall tucheke aisee si kwa kupewa makabila hayo.
Ukimpigia Simu mwambie anaondoka muda wowote na baada ya hapo hakikisha unamtafutia Kazi sawa?
 
Reform kubwa inatakiwa kufanywa kwenye tanpol. Bado Lina mentality ya kikoloni. Linatakiwa liwe Police Service na sio Police Force
leta maelezo yaliyojitosheleza kwamba likiwa police service utendaji wao wa kazi utabadilika au itakuwa kama Kenya police service au kama USA police!! Tusiwe watu wa kuiga tu,kama nchi tunakiwa tuwe wabunifu.
 
Ndugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...
Mwambie huyu ndugu yako amefeli sana. Wengi tulikuwa na confidence na uteuzi wake. Lakini, it seems he will go down as one of the worst IGP in history next to Mahita.
 
Hii dunia hee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nani kakataa hayo majina. Wakurya tuna Magesa na Wasukuma wana Magesa, majina yapo kila sehemu. Sasa unaona mtu anawapa kabila na si lenu, ukubali tu ndiyo? Hatuna Uzanaki why mnatulazimisha. Wewe kabila lako unalijua si ndiyo? Nikupe hapa kabila lingine, utakubali tu. Ukweli lazima usemwe.
Bantu kumbe ni mkurya😂😂

Tata sakurubhoke
 
Back
Top Bottom