Duuh noma sana aseeNakubaliana nawe 100% Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh noma sana aseeNakubaliana nawe 100% Mkuu.
Ndugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...Acha kubisha kuhusu IGP Wambura upande ni Mzakani tena Kijiji kimoja nami na mwingine ni Mkurya. Acha kubisha!!!
Polisi wanatia aibu kabisa. Wameanda timu ya uchunguzi baada ya kuagizwa kuchunguza, bila ya hivyo na hili wangeliacha lipite kimya.Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Hata kama ataondolewa Leo na Kisha akawekwa mtu mwingine, bado utekaji na Mauaji ya Watu yataendelea kuwepo.Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Hii dunia hee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nani kakataa hayo majina. Wakurya tuna Magesa na Wasukuma wana Magesa, majina yapo kila sehemu. Sasa unaona mtu anawapa kabila na si lenu, ukubali tu ndiyo? Hatuna Uzanaki why mnatulazimisha. Wewe kabila lako unalijua si ndiyo? Nikupe hapa kabila lingine, utakubali tu. Ukweli lazima usemwe.Hata Wazanaki wana Wambura, Marwa.
Kumbe Wambura ndugu yako?Ndugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...
Ni wa kiagata… niishie hapo tena ni Ndugu yangu wa damu - itoshe kusema hivyo…Acha kubisha kuhusu IGP Wambura upande ni Mzakani tena Kijiji kimoja nami na mwingine ni Mkurya. Acha kubisha!!!
Wambura ana ndugu wengi jfNi wa kiagata… niishie hapo tena ni Ndugu yangu wa damu - itoshe kusema hivyo…
Hilo ni suala la kimuundo zaidi. Sheria na katiba zinawafunga, zinatoa upenyo wao kutumika. Until haya mambo yatakapo badilika IGO wengi wataonekana vilazaSijui kama kuna IGP Ataiweza polisi maana tofauti na wenzeo kama jeshi la wananchi hawa wanatumika kisiasa sana ....too much maelekezo mpaka wao wameamua tu oda ni oda kikubwa itoke kwa mkubwa!
Kwahiyo unatoka Buswege?Si hapo muangalie upande wa baba yake kama ni mzanaki ama mkurya?
Hiyo mtajaza wenyewe… sisi ndugu zake hatukumtuma kwenda kuwa domo zege na kuangalia uhai wa watu unapotezwa bure yeye hata tamko la magumashi - Kimya. Tunamsubiri nyumbani tumuulize, “ hivi ni Nani alikuwekea super glue mdomoni hata usitokelezee kusema kinacho endelea humo ndani Kwa vijana unao waongoza ?”Wambura ana ndugu wengi jf
Kwaiyo tumtumbue au tumwache
Mchapeni na viboko kabisaHiyo mtajaza wenyewe… sisi ndugu zake hatukumtuma kwenda kuwa domo zege na kuangalia uhai wa watu unapotezwa bure yeye hata tamko la magumashi - Kimya. Tunamsubiri nyumbani tumuulize, “ hivi ni Nani alikuwekea super glue mdomoni hata usitokelezee kusema kinacho endelea humo ndani Kwa vijana unao waongoza ?”
Subira yavuta kheri- subiri atumbuliwe kwanza au labda wampeleke ubalozi mambo yapoe 😁Mchapeni na viboko kabisa
Na hakuna sehemu nimekubishia, kuna mzungu anaitwa Mabala.Hii dunia hee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nani kakataa hayo majina. Wakurya tuna Magesa na Wasukuma wana Magesa, majina yapo kila sehemu. Sasa unaona mtu anawapa kabila na si lenu, ukubali tu ndiyo? Hatuna Uzanaki why mnatulazimisha. Wewe kabila lako unalijua si ndiyo? Nikupe hapa kabila lingine, utakubali tu. Ukweli lazima usemwe.
Reform kubwa inatakiwa kufanywa kwenye tanpol. Bado Lina mentality ya kikoloni. Linatakiwa liwe Police Service na sio Police ForceSijui kama kuna IGP Ataiweza polisi maana tofauti na wenzeo kama jeshi la wananchi hawa wanatumika kisiasa sana ....too much maelekezo mpaka wao wameamua tu oda ni oda kikubwa itoke kwa mkubwa!
Huyu naye muongo, muombe akutajie wako wangapi, idadi ya wakike na wa kiume. Wazazi, na mengine. Humu ndani kumbe watu huongea uongo na watu tunawaamini dah. Leo nimeshangaa, usiku nitamcall tucheke aisee si kwa kupewa makabila hayo.Wambura ana ndugu wengi jf
Kwaiyo tumtumbue au tumwache
Tumpige kanzu au tumpige tobo aaaaaaah ngoja tumuache kwa sauti ya Makongoro NyerereWambura ana ndugu wengi jf
Kwaiyo tumtumbue au tumwache
Siyo kweli hata kidogo, kitu Cha MUHIMU zaidi ni kuwa na Katiba ya nchi iliyo nzuri, sambamba na Sheria zingine zote zilizopo katika nchi pia ziwe nzuri na kumuweka kila mtu kuwa yupo chini ya Sheria, No one should be above the law. Hii itasaidia Sana ktk kukomesha haya maovu yanayoendelea kutokea kila siku.Wambura kiutendaji ni mzuri sana tu nadhani baadhi ya maelekezo yanatoka juu yake hawezi kupinga.
Ifike muda nafasi kama IGP au CDF zisiwe za uteuzi, ni ngumu sana mtumwa kutenda kinyume na bwana wake.
Kibaya zaidi nowadays viongozi wa kisiasa wanaabudiwa sana so akishasema inafuata utekelezaji bila kujali taaluma inasemaje!