Povu la Jokate

Wasallam wanajukwaa,
Katika pita pita zangu za mitandaoni nimekutana na messages hizi za mlimbwende jokate za kunyapia nyapia zinasema eti ni dongo kwa manager wa mpenzi wake kuonekana ku manage mpaka dushe wajuzi tililikeni hapa.
Huyu binti tatizo lake ni dogo sana,anapenda kudate na watu alio wazidi akili mwisho wa siku ndo hivyo wanaishia kumuumiza moyo....
 
Kwa kweli jokate needs to change hata GPA yake nzuri tu sasa haeleweki Mara aguse hichi hakimalizi, umaarufu ungekuwa platform yake nzuri tu kufanya ya maana, IPO siku atakuja kujuta kwa kutumika hovyo na wanaume wasio na mbele wala nyuma.
Hizo GPA kuna watu huwa wanaenda kuchukua NA si Ku tafuta
 
Wote hao wanaume wa ajabu ajabu tu na wahuni walimtumia na Ku dump tu na hyo imemfanya JoJo aonekane hovyo hovyo tu kiukweli.
Tatizo la kutka watu wenye majina hata kidogo ndio shida!!!
 
Unatunyanyapaa kishenzi tusioneda shule na ndo maana hadi wengine wanatuonya kishenzi kutojiweka kwa mwanamke aliyekuzidi hiki au kile!!!

Hivi hakuna mabashite wa kike humu manake hawa akina DB mnh!!!
Kazi kweli kweli
 
Wee Chige kwa nondo zako huku JF kichwani uko vizuri sana mi na refer wale wasio jua kitu kabisa yani empty set kabisa.
MA bashite wakike hawakosani kabisa humu
Ila DB tuache masihara na tuweke ushabiki pembeni!! Hiki kilichotokea nilifahamu from day one kwamba it's a matter of time!! Kiba kakosea sana kutoka na Seven... anyway, I love Seven, she's sexy and beautiful!! Naipenda ile midomo yake iliyokaa kishari shari!!! Hata mimi ningekuwa ndo Kiba, huenda nisingemwacha! Unamwachaje Seven?! Ili upate thawabu kwa Mungu; au?!

But all in all, unapochanganya kazi na mapenzi; haya yaliyotokea lazima yatokee...!!!
 
Kwa kweli jokate needs to change hata GPA yake nzuri tu sasa haeleweki Mara aguse hichi hakimalizi, umaarufu ungekuwa platform yake nzuri tu kufanya ya maana, IPO siku atakuja kujuta kwa kutumika hovyo na wanaume wasio na mbele wala nyuma.
Jokate alishapoteza muelekeo siku alipoanza ku-opt kutoka na celebrities wenzake!! It's like alikuwa anawaona akina Wema wanafaidi!!
 
Kikwazo cha Kiba na Kate wala hakiwezi kuwa Diamond lakini kwa mbaaaaaaaali, naifahamu familia ya akina Kate!! Pana kazi uwashawishi wale wazee ili hatimae aolewe na Mwislamu!!! Na kwa bahati mbaya sana, Kate mwenyewe ana nyota ya Waislamu kwa sababu anapenda celebrities!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…