Povu la Jokate

Povu la Jokate

Jokate maisha yake yalitakiwa yawe kama kina Nancy summary,jacline ntuyabaliwe,kina Faraja nyalandu Hawa wadada wanajielewa sana na wanakula maisha yao taratiiiiibu hata kama kuna skendo sio rahis sana kuzisikia and yet bado ni maarufu cjui ila mi naona kaliba ya jojo iko kule kwa maana ana akili sana sema cjui what went wrong kuna saa unaweza ukamfananisha na bongo movie kabisa.
Huyo jokate nimrahisi sana nimempitia mara mbili ila kitandani hamna kitu
 
Kwasababu ya kazi yao wanayoifanya sio" nadhani watu wa maana kwako n wale wa maofisini tai kubwa moka shati limepigwa pasi likanyooka watanashati lkn mwisho wa siku ni they work for others"watumwa"
au nimekosea.
Its not about money Bunsen bana basi tu ni matendo yakitofautiana ki tabia kwangu ni issue kubwa, mfano mi namweshimu Jide prof jay na kina Sugu ka wasanii nguli, sasa hayo ya Ku make money kila mtu mbona ana make tu.
 
Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Haigi mifano ya wenzie kama Hoyce temu na faraja kota wapo wametulia na wanaume zao hao wasanii wanaowapenda hawana nia wao wanataka kufunua na kuosha marungu kisha wanasepa wanakuacha ukipiga kelele kwa insta na kwingineko huku hadhi yako ikishuka ukijastuka wanaume wote wanakuona used itakula kwake
 
Sasa huyu ndo mwanamke anayemnyima kiba usingizi
FB_IMG_1488534575887.jpg
 
Haigi mifano ya wenzie kama Hoyce temu na faraja kota wapo wametulia na wanaume zao hao wasanii wanaowapenda hawana nia wao wanataka kufunua na kuosha marungu kisha wanasepa wanakuacha ukipiga kelele kwa insta na kwingineko huku hadhi yako ikishuka ukijastuka wanaume wote wanakuona used itakula kwake
Ndo linalomtokea JoJo alivoanza tu na domo ndo alimtia ngundu, tena hawakudumu hata mwezi, au anafikiri akipata asiyejulikana na kutulia labda umaarufu utamuisha, hata ukiwa na heshima utakubalika tu.
 
Back
Top Bottom