Povu la Jokate

Povu la Jokate

Nimegundua kumbe vile nnavyofikiri kuhusu Jokate ndivyo wanavyomfikiria wengi. Jokate toka zamani alikuwa anaonekana yuko smart sana kichwani tofauti na sampuli za hawa kina Wema Sepetu, cha ajabu mambo anayoyafanya hayana tofauti na hao malaya wengine
watu tunao-date nao wana nafasi kubwa sana ya kukubadilisha tabia na kuwa tofauti na wengine, amedate na Diamond matokeo yake akabwaga akajikuta ameingia urafiki na watu wenye tabia ya kiswahili swahili matokeo yake na yeye akawa anafanya mambo yetu ya kiswahili swahili ambayo kama hujazoea lazima utaingia chaka maana kuna skill flani unatakiwa uwe nazo (ya unaingiza mguu mmoja mwingine unabaki nje). Kwa Kiba aliingia ile tunaita "mkomoeni" matokeo yake ndio hayo
 
Naona comments zinajadiliwa kama ni kweli jambo lenyewe wakati mleta mada kasema ni tetesi.

Tungesubiri ukweli ujulikane ndo ijadiliwe
 
Ila hawako 'smart' upstairs, nadhani elimu ndogo inachangia
Wame achieve makubwa sana katika maisha yao ambao hao wenye elimu zao hawajui hata watafika lini.

Tuwaheshimu hawa jamaa na vipaji vyao. Hayo mengine ni maisha ya kawaida ukishakua celebrity
 
Ndio ana msuuza ujue mapenzi ni zaidi ya Ku do sana kupita kiasi kuna vtu vingine vinafanya mwanamke atulie kabisa. Hasa upendo na care
Dada yangu haya ndio mambo ambayo Jokate hayataki 😀😀😀😀😀
 

Attachments

  • download-10.jpeg
    download-10.jpeg
    87.2 KB · Views: 35
Hivi mastar wa kike wa kibongo do they ever think abt settling down na kuanzisha familia??? Most of them wanafikir watabakia vijana wkt umri unakwenda..... jokate ni good girl na anadeserve someone better out of entertainment industry lkn still bado hajaitambua thamani yake.
 
Hivi mastar wa kike wa kibongo do they ever think abt settling down na kuanzisha familia??? Most of them wanafikir watabakia vijana wkt umri unakwenda..... jokate ni good girl na anadeserve someone better out of entertainment industry lkn still bado hajaitambua thamani yake.
Uko right sana jokate deserve a good man anayejielewa aisee.
 
Hawa wasanii wote sijui mastar kiukweli nawaona hovyo hovyo tu.
Kwasababu ya kazi yao wanayoifanya sio" nadhani watu wa maana kwako n wale wa maofisini tai kubwa moka shati limepigwa pasi likanyooka watanashati lkn mwisho wa siku ni they work for others"watumwa"
au nimekosea.
 
umiss ulivyo na exposure zakutosha huwa nawashangaa hawa watoto kwanini wanakuwa wajinga kiasi hiki,warembo nao wakubali hawafiki kumi hapa bongo,mtazame Hoyce Temu,Nansi Sumar,Faraja,Richa Adhia
Yani hoyce temu ndo best wa wote kwa kweli nimeanza kumsikia tangu Niko primary, umiss wake umekuwa platform nzuri kwake, had sasa yuko UN kipindi vyake ya TV kuhusu Jamii, pia Faraja Nyalandu ana MA pia ile project yake ya shule Direct imemfikisha mbali had anaenda kwenye meeting za kimataifa, sasa yeye JoJo na shule yake ni kukimbizana na kina Domo, Mara kiba, Hashimu Ngongoti, sijui kusahau kuwa zama zinapita na umri unasogea. Ukishatoka na hawa wasanii unadharaulika mno. Joketi wake up kabla mda hujaenda
 
Back
Top Bottom