Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Alikibavianaume vya ajabu ajabu ndo vipi hivyo Madame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikibavianaume vya ajabu ajabu ndo vipi hivyo Madame
Sifa kuu za mwanaumeWanaume wasio na mbele wala nyuma yani shuleless ingawa wana hela ya kubadilisha mboga
Unatunyanyapaa kishenzi tusioneda shule na ndo maana hadi wengine wanatuonya kishenzi kutojiweka kwa mwanamke aliyekuzidi hiki au kile!!!Wanaume wasio na mbele wala nyuma yani shuleless ingawa wana hela ya kubadilisha mboga
Yani huyu jokate kwa jinsi alivyo na akili za darasani ...hakustahili kuruka ruka na kutumiwa na wajinga wajinga...hadhi yake ilibidi iwe ya kinaWote hao wanaume wa ajabu ajabu tu na wahuni walimtumia na Ku dump tu na hyo imemfanya JoJo aonekane hovyo hovyo tu kiukweli.
Kuna mtu alikuwa anaitwa Henrry Ford huko marekani hakuwa na elimu ila aliweza kupata mawe kibao kwa kuwatumia wenye Elimu na mpaka leo gari zake zipo sokoni.Elimu inampa mtu ujuzi, hekima na kuongeza busara. Aliyeelimika anategemewa kuji-conduct tofauti na asiye na elimu.
Lipumba aliona 'mwanya' akautumia, pengine elimu yake ilimsaidia. Ndio maana ukiwa na hela halafu huna elimu, utafilisiwa na wenye elimu.
Unavyomuona sivyo anavyojiona, kasoro zake anazozijua yeye ndo zinamlazimisha a-date na hao unaosema wa hovyo. She has no choice.Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Usijali kabisaItakuwa muruaaa Diva
Yani kutoka Ku date watu wa maana hadi wasanii atawakumbuka waliokuwa serious.naye hajatulia nakumbuka nilipata safari ya ghafra kwenda paris,ufaransa,, nilipo rudi kuna mambo alinifanyia nkaamua kumuacha
Hajiamini kuwa yeye ni potentialUmeliona hilo yaani ni limbukeni kama mwenzie wakujiita Najdat (mchuchu wa baraka the prince)
Mvua itanyesha barafu siku hiyoUsijali kabisa
Wee Chige kwa nondo zako huku JF kichwani uko vizuri sana mi na refer wale wasio jua kitu kabisa yani empty set kabisa.Unatunyanyapaa kishenzi tusioneda shule na ndo maana hadi wengine wanatuonya kishenzi kutojiweka kwa mwanamke aliyekuzidi hiki au kile!!!
Hivi hakuna mabashite wa kike humu manake hawa akina DB mnh!!!
Yani kutoka Ku date watu wa maana hadi wasanii atawakumbuka waliokuwa serious.
I agree with you aisee au naye anataka kubeba maana kuna kipindi walikuwa na bifu na mzazi mwenziwe na kibaJokate hasomi Alama za nyakati!!,mwenzie alikiba ana watoto wanne sijui watatu,huenda hafikirii kusettle down soon
kwani tayari ana watoto
Sijui ni nini haswa kitamharakisha Alikiba kuoa(watoto anao tayari),alikiba bado anao muda wa kuchezea lakini jokate hana muda wa kuchezea,hana mtoto,
Kwa tabia za alikiba,kuoa MTU ambaye ameshatembea na mshindani wake(diamond)inaweza kuwa ni changamoto!!!ndio watu husema 'k'haina makombo lakini kwa MTU kama kiba,MTU wa pride lazima hilo ni kwazo kubwa sana.
Kwa kweli jokate needs to change hata GPA yake nzuri tu sasa haeleweki Mara aguse hichi hakimalizi, umaarufu ungekuwa platform yake nzuri tu kufanya ya maana, IPO siku atakuja kujuta kwa kutumika hovyo na wanaume wasio na mbele wala nyuma.Yani huyu jokate kwa jinsi alivyo na akili za darasani ...hakustahili kuruka ruka na kutumiwa na wajinga wajinga...hadhi yake ilibidi iwe ya kina
Faraja kotta
Jacky mengi
Nancy sumary
nargis mohamed
Hoyce temu...
Adate na watu wenye akili na future za maana...mtoto kajiharibia sana huyu
Changamkia fursa mkuuSoon mtasikia yupo na login-logout , nimfute machunga na maumivu, ili nijenge nae familia imara. Update live itakua humu
Ndio nani huyu bos?Sasa huyu ndo mwanamke anayemnyima kiba usingizi
View attachment 476352
Mkuu muongeze na irene kiwia hawa wadada walisoma alama za nyakatiYani huyu jokate kwa jinsi alivyo na akili za darasani ...hakustahili kuruka ruka na kutumiwa na wajinga wajinga...hadhi yake ilibidi iwe ya kina
Faraja kotta
Jacky mengi
Nancy sumary
nargis mohamed
Hoyce temu...
Adate na watu wenye akili na future za maana...mtoto kajiharibia sana huyu