Povu la Jokate

Povu la Jokate

Jokate ni mzuri lakini anadate vituko ila Seven anaclassy fulani hivi.
Mkuu vp jojo hana classy au! mnyonge mnyongeni haki yake mumpe ile video kiba Na mama yake kumkana kweupee we umejisikia vizuri[emoji22]
 
Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu

Jokate ni sawa na mademu wengi wa Kibongo, yaani hawajitambui bado hata wawe na miaka mia na ngapi. Angalieni hivi videmu vya Bongo fleva ama Bongo muvi, yaani ni kama vile vichwa vyao vimejaa viloba badala ya akili. Jokate bado Analia na Ali Kiba wakati mwenzie hamtaki, kishamtumia na kamchoka ila yeye bado tu hakubali anataka kuumizwa Zaidi. Mtu wa namna hii utamsaidiaje? Jokate, tafadhali piga akili soma alama za nyakati. Mwenzio kakuchoka na hakutaki, kwa nini usitafute mtu wa ukweli kuliko hivi vitoto vya Bongo fleva?
 
Mastar wetu hawajui potential zao ndo maana wana dharaulika, kiba kamtumia jokate hasa kipindi kile cha timu kiba na mond sasa kaona utimu umepoa huyo kamuacha, vera sidika ni star ila huwezi kukuta anafanya ujinga wa kina Joketi, Jokate ana deserve mambo makubwa kuliko hapo alipo fika.
 
Unapotea sasa na wewe...alokwambi Shule ndio kila kitu kwenye maisha ni nani hasa?
Kazi ya shule ni kutoa ujinga hela yoyote anaweza kuwa nayo tu. Hata kusoma vitabu mbali mbali navyo ni shule tosha tu kwenye life
 
Back
Top Bottom