iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,960
- 1,502
Kabisa usemaloWote hao wanaume wa ajabu ajabu tu na wahuni walimtumia na Ku dump tu na hyo imemfanya JoJo aonekane hovyo hovyo tu kiukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa usemaloWote hao wanaume wa ajabu ajabu tu na wahuni walimtumia na Ku dump tu na hyo imemfanya JoJo aonekane hovyo hovyo tu kiukweli.
Umenikumbusha mstari wa Fid q kwenye #Sumu#Ila hawako 'smart' upstairs, nadhani elimu ndogo inachangia
Nigee namba zake [emoji12]Hvi wanaume hammuoni jokate jamani mkamuweka ndaniii
Mkuu we mbayaaaaaWe unapenda kubwa au ndogo, ndefu au fupi, nene au nyembamba
Nakuhakikishia wadada walio maarufu hupenda kudate na watu maarufu na hili ndilo Janga kubwa sana na hapa huwa nikuchezewa tu!Si mwanamke anashawishiwa tu anaolewa
Sina ila zangu nnazo [emoji23][emoji23]Nigee namba zake [emoji12]
Mkuu hizo zitanisaidia sana siku nikija huko maeneo ya kapripoint, Nyegezi au kona ya Bwiru. Nisambazie upendo inbobo.[emoji23]Sina ila zangu nnazo [emoji23][emoji23]
Hahahahahaha nimekugayaaMkuu hizo zitanisaidia sana siku nikija huko maeneo ya kapripoint, Nyegezi au kona ya Bwiru. Nisambazie upendo inbobo.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Unapotea sasa na wewe...alokwambi Shule ndio kila kitu kwenye maisha ni nani hasa?Wanaume wasio na mbele wala nyuma yani shuleless ingawa wana hela ya kubadilisha mboga
Mkuu vp jojo hana classy au! mnyonge mnyongeni haki yake mumpe ile video kiba Na mama yake kumkana kweupee we umejisikia vizuri[emoji22]Jokate ni mzuri lakini anadate vituko ila Seven anaclassy fulani hivi.
Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Hahaaa jaribu wewe mkuu utashindana kupima oil na hashimu thabeethHvi wanaume hammuoni jokate jamani mkamuweka ndaniii
Mastar wetu hawajui potential zao ndo maana wana dharaulika, kiba kamtumia jokate hasa kipindi kile cha timu kiba na mond sasa kaona utimu umepoa huyo kamuacha, vera sidika ni star ila huwezi kukuta anafanya ujinga wa kina Joketi, Jokate ana deserve mambo makubwa kuliko hapo alipo fika.Jokate ni sawa na mademu wengi wa Kibongo, yaani hawajitambui bado hata wawe na miaka mia na ngapi. Angalieni hivi videmu vya Bongo fleva ama Bongo muvi, yaani ni kama vile vichwa vyao vimejaa viloba badala ya akili. Jokate bado Analia na Ali Kiba wakati mwenzie hamtaki, kishamtumia na kamchoka ila yeye bado tu hakubali anataka kuumizwa Zaidi. Mtu wa namna hii utamsaidiaje? Jokate, tafadhali piga akili soma alama za nyakati. Mwenzio kakuchoka na hakutaki, kwa nini usitafute mtu wa ukweli kuliko hivi vitoto vya Bongo fleva?
Kazi ya shule ni kutoa ujinga hela yoyote anaweza kuwa nayo tu. Hata kusoma vitabu mbali mbali navyo ni shule tosha tu kwenye lifeUnapotea sasa na wewe...alokwambi Shule ndio kila kitu kwenye maisha ni nani hasa?
Diva upo!Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Magufuli kabana kila kona sasa afanyejeJokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Seven ndio nanYoooooh acha Seven ale matunda yke ame invest sana kwa Kibakuli