Povu la Jokate

Povu la Jokate

Kiba mwenyewe namuona hakutumia busara walah nilikuwa namwona wa maana kumbe hamnazo, yani manager na mapenzi wapi na wapi hawa ukute walikuwa wananjunjana long time sema ndo wameonyesha live, mapenzi na kazi hayaendi ngoja kiba achepuke.
Uwezekano wa kuwa wameanza zamani ni mkubwa sana kwa sababu, kwa kumbukumbu zangu Kiba alianza kuwa karibu na Seven way back 2013 or b4 that!!
 
Uwezekano wa kuwa wameanza zamani ni mkubwa sana kwa sababu, kwa kumbukumbu zangu Kiba alianza kuwa karibu na Seven way back 2013 or b4 that!!
Vtuko tupu hivi ndo hawa wasanii wanaigana kuchukua maveterani tu, nadhani joketi ajifunze sasa hawa bongo fleva ni umiza kichwa daily ngono, kuchukuliana chah
 
Wajanja WA mjini wanaojua kung'ata na kupuliza muda wanahitaji[emoji29] [emoji25] so SAD
Ila wasichana sijui vipi...unakuta wanakazania kubembeleza kwa man anae mtenda wkt tunao mprnda tupo

Inatia jazba kinoma
 
Jua lishazama kwa seven ht ndoa ya talaka km jd hajapata....mchaga yule naona kachagua sana mpk kakosa wa kumuoa ss hivi anabaka kiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Suala la jua kutua magharibi ni ukweli mtupu manake kwa ninavyofahamu, hivi sasa atakuwa anakimbilia 40 sema mwili wake ndo unambeba!!!

Kuhusu ndoa, anaweza kupata bhana sema choices zinaendelea kupungua kadri miaka inavyoenda manake hata wazee na wenyewe wanataka toto mbichi mbichi!!!
 
Huyo ana kampuni yake, ya Portal Noveli, sashiv katulia na kazi na familia yake. Huwa anapost vitu vya maana sana (very educational) kwenye instgram yake.
I see! Hongera zake lakini nadhani kaanza ku-settle kitambo.
 
Ila wasichana sijui vipi...unakuta wanakazania kubembeleza kwa man anae mtenda wkt tunao mprnda tupo

Inatia jazba kinoma
But pia Kiba alikwenda kwa gia hio hio ujue[emoji4]
Baada ya kutosheka akasepa kwa dharau....ila co vizuri wanaume Mnachofanya Mungu Anawaona[emoji36] [emoji23]
 
But pia Kiba alikwenda kwa gia hio hio ujue[emoji4]
Baada ya kutosheka akasepa kwa dharau....ila co vizuri wanaume Mnachofanya Mungu Anawaona[emoji36] [emoji23]
Kiba hakumpenda JoJo Bali alikuwa ana mtumia kipindi timu kiba na mond zimepamba moto walah kiba Mungu anamuona
 
Ila Nackia Kakishika Mkononi Kinanihii Chake, Walosoma UD kpnd chake ndo wanasema, ukiwa mtanashat kdogo2, km unanawa vile
 
Huyu kiba naye loh had manager wala kanishinda tabia. Seven ni mdada mrembo inaonyesha wa long ila naye inaonyesha aliendekeza kula ujana na kusahau kuhusu family issues.
Na Seven ni zaidi ya manager wa Kiba kwa sababu pia ni boss wa talents pale Rockstar4000. Rockstar4000 ni mkono wa Sony!! Sasa unapotoka na mtu wa aina hii, unatakiwa kuwa very cautious kwa sababu, mkivurundana, unaweza kukuta mtu anawapa attention zaidi wenzako kuliko wewe ili mradi tu!!!
 
Back
Top Bottom