Povu langu nisiye na nyumba

Wanakuambia kujenga ni uwoga wa maisha!

Ila kwa maoni yangu kujenga ni muhimu kama una watoto. Inabidi uwaachie kakibanda ka wao kujificha ukidondoka pah.
Ni muhimu, ila sio poa kutiana stress kwa mishangaaaaooo aaag
 
Ummy..usihuzunike buree.. wengi tumerithi!! Hata Serikali hurithi !! Na nyumba nyingi siyo za wakazi Kama ufikiriavyo!! Real and true home NI Makaburini tutaishi humo milele ..!!
Jenga Akhera yako from Now!!
 
Wasumbufu sana hao wenye nyumba.mwingine anataka amonite hadi wageni awajue ha ha ha
 
Ummy..usihuzunike buree.. wengi tumerithi!! Hata Serikali hurithi !! Na nyumba nyingi siyo za wakazi Kama ufikiriavyo!! Real and true home NI Makaburini tutaishi humo milele ..!!
Jenga Akhera yako from Now!!
hahaha boss pote pana umuhimu wake makazi ya hapa dunia na makazi ya uko khera. Mshauri ajenge nyumba mbili zote kwa pamoja.

Hizi kauli huwa zinatolewa na watu wa mungu,mashekh ,ma pastor,askof nk huwa wana nia nzuri lakini zinadumaza sana mind za watu katika utafutaji.
 
Wapo wanaoamini kujenga nyumba ya kuishi ni kufanikiwa maisha,ndio ambao unakutana nao
 
Kukaa kwenye nyumba za watu stress, kwanza ile pressure tu kodi inapoisha, pili kupangiana masharti mara ooh kuingia kwangu mwisho saa mbili, ukitembelewa na wageni zaidi ya wawili mwenye nyumba anaanza kukukata jicho(sie wengine tunaishi kijamaa), ukiingiza wanaume tofauti tofauti kosa eti anataka awe anakuja mmoja( kupangiana hadi kwenye mambo binafsi kwani we mama yangu ebooo)
#nimwendowapovumwanzomwisho
 
Bado mimi kuja kwako
 
Poleni sana single mazas,very desperate...
 
Ohooo!!!endelea kulemba watakuja kukuona zoba watakulinganisha na Juma lokole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…