Povu langu nisiye na nyumba

Povu langu nisiye na nyumba

Ila kumkabidhi mtu 3-4m (kodi) si masihara! Hebu itaje vizuri MI-LI-O-NI 4!!
Ni kweli , lakini sio sababu kisa umejenga ukikutana na mie uanze mishongondoo oooh siwezi kabisa kodi hapana bla bla ukinambia tu jitahidi ujenge yatosha
 
tabu wewe hukumwelewa baada ya hapo angeuliza una mtoto? baba yake mnaishi naye? halafu wewe unamjibu ni stori ndefu siku tukipata muda nitakuhadithia inauma sana(hata kama uwongo ataingia king matatizo yako kuku atanunua yeye lift atatoa yeye na posho atakuachia na mwisho utamalizia siwapendi wanaume na siwezi kumwamini yeyote na kwa kusema hivyo utatengeneza mwaliko mwingine na mingine) akistuka alishakulipia KIKOBA deni.

Mmmh huyo sio mimi asee
 
Hata siwasalimii...... hivi nyie mliofanikiwa kujenga mkoje lakini? Mbona mnajifanya kama vile mlitoka tumboni kwa mama zenu na cement mkononi, mmefika tu duniani na kuanza ujenzi, sio kudolishia huko na hapo utakuta kinyumba chenyewe cha kawaidaaa tu mxyuuu (japo mie hata nyumba isio na mlango tu sina [emoji23] )

Hivi ushawahi kukutana na kejeli za wenye nyumba? Usiombe awe kakupa na lift jamani utatamani upenye dirishani sijui gari lina dirisha sijui mlango eeh hapo hapo. Swali linaanza kama pepa la hesabu, unapokaa umejenga, ukijibu tu nimepanga...cha kwanza atakutolea mijicho, ndio aanze kushangaa sasa heeeee yani umepanga mi siwezi nna nyumba mbili siwezi kabisa kupanga yani kodi hapana dah siwezi pyeeeee kajambe kule bana hata Kobe na konokono wana nyumba zao tena wao wanatembea nazo kabisa na hawana hata makuu, ndio sijajenga sasa ka vipi nijengee....mafao yenyewe tu nikistaafu nitayanywaaaa yani ntafunga bar!!!!!!
Povu povu tu.[emoji57]
Ukizeeka ndio utajua umhimu wa kujenga
 
Ni kweli , lakini sio sababu kisa umejenga ukikutana na mie uanze mishongondoo oooh siwezi kabisa kodi hapana bla bla ukinambia tu jitahidi ujenge yatosha
Hivi mtu anaanzaje kukuuliza hivyo?
 
Najenga nyumba ya kawaida nikiwa naishi wapi kwa hiyo miaka 10?
Unapokaa ni uamuzi wako. Wapo walioamua kukaa kwenye chumba cha 50,000/- badala ya nyumba ya 300,000/- pia wapo walioamua kukaa kwao huku wanamalizia nyumba zao. Au popote pale ambapo watu wanakaa
 
Back
Top Bottom