Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hauna nyumba ila dushe hukosi! Si mkosi huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapokaa ni uamuzi wako. Wapo walioamua kukaa kwenye chumba cha 50,000/- badala ya nyumba ya 300,000/- pia wapo walioamua kukaa kwao huku wanamalizia nyumba zao. Au popote pale ambapo watu wanakaa
Unaweza kukaa hata nyumba ya 2m huku unajenga yako. Ni uwezo tuHii ndo Magufuli aliyosema kuhusu kuishi kama mashetani.
Shukrani.
Unanionea wivu nnavotoambwa? Nawe kula dushe tu it is freeeee and sweetHauna nyumba ila dushe hukosi! Si mkosi huu?
Mi ni mwanamke kumbuka tehHizo ni dadali za kuanza kukosa kodi ya watu...
Ni wivu tuu
Mi ni mwanamke kumbuka teh
Vyoteeeee na kujengewaKwa hiyo kwa kuwa wewe ni mwanamke unataka uwe unaishi/kukaa bure au kulipiwa kodi?
Mkuu,maza haus wangu hana noma,namuona kama bi mkubwa wangu tu,samtaim akikorofisha misosi hevi nikiwepo anawapa mabinti zake waniletee,mmoja yuko form one mwingine form five na wala sina mpango wa kuwagonga,na hua wanakaa sana room kwangu kuangalia season.
Wananiita brother bonge.
Ndio haswa unapopungukiwa pesaNshazeeka mbona au kuna uzee version nyingine?
Bora kwenye vikoba hata wana sababu, ila sio tu wapenzi watazanaji from no where....
Tunataka kujua uzito wa jukumu tutakalobeba
Unapokaa ni uamuzi wako. Wapo walioamua kukaa kwenye chumba cha 50,000/- badala ya nyumba ya 300,000/- pia wapo walioamua kukaa kwao huku wanamalizia nyumba zao. Au popote pale ambapo watu wanakaa
Hanna sehemu nimesema ujenge Kwa miaka kumi. Nimepiga hesabu tu mtu anaeishi nyumba ya kupanga kwa muda huo. Mbona mnakariri. Kila mtu anapanga apendacho.Kwahiyo niishi kama digidigi for 10 long years sacrificing my quality of life in the hope ya kujenga nyumba ya KAWAIDA, ambayo sitakuwa naifurahia for the rest of my life there, hivyo niendelee kuishi kama digidigi kwa miaka yangu ijayo?
Kwanini hiyo miaka kumi ambayo nina nguvu na akili inachaji nisiitumie kufocus kwenye kutengeneza mpunga mrefu huku nikipumzika mahala pazuri kufacilitate process hiyo, na kisha nitakapokuwa na uwezo nijenge nyumba ninayoweza kuifurahia?
Mwenye mapenzi hawezi kuuliza kazi unayofanya.Mimi mwanaume nilienae mwanzon hakuniuliza kabisa maswala ya kazi na sikuwa na kazi nilishangaa sanaa na plan yake nifanye biashara hapendi mambo ya kuajiriwa,nimepata kazi nipo nae
Wengine sasa swali la kwanza una kazi yaan unajiuliza anataka mshahara wangu au nimkope pesaa 😂😂😂😂
wote nyie mliokata tamaa ya kujenga njooni PM niwauzie kibanda bei pooooooa kabisa mradi iuwe na 9m tu huku huku mjini. Of course ukija pm nitajua uko serious kama umekwama ongea utagongwa na ma boxerHata siwasalimii...... hivi nyie mliofanikiwa kujenga mkoje lakini? Mbona mnajifanya kama vile mlitoka tumboni kwa mama zenu na cement mkononi, mmefika tu duniani na kuanza ujenzi, sio kudolishia huko na hapo utakuta kinyumba chenyewe cha kawaidaaa tu mxyuuu (japo mie hata nyumba isio na mlango tu sina 😂 )
Nnaowaongelea hapa hata sio wapokea kodi wetu, ila ni wapenzi watazamaji tu ambao wapo interested na kujua wapi tunalaza vitambi vyetu, kuna vitu kabla haujaongea hebu jiulize mara mbili unaemwambia kitamgusa vipi, imagine unakutana na Mimi sasa nakuuliza mwanao anasoma shule gani unanijibu chaurembo secondary halafu nianze kukushangaa haaa unamsomeshaje huko mie siwezi asee wangu yupo st nanii huko hivo utajisikiaje??? Au mtu anakuuliza unafanya kazi gani, unawezaje kufanya hiyo kazi mie siwezi mxyuuuuuuuuuu
Hivi ushawahi kukutana na kejeli za wenye nyumba? Usiombe awe kakupa na lift jamani utatamani upenye dirishani sijui gari lina dirisha sijui mlango eeh hapo hapo. Swali linaanza kama pepa la hesabu, unapokaa umejenga, ukijibu tu nimepanga...cha kwanza atakutolea mijicho, ndio aanze kushangaa sasa heeeee yani umepanga mi siwezi nna nyumba mbili siwezi kabisa kupanga yani kodi hapana dah siwezi pyeeeee kajambe kule bana hata Kobe na konokono wana nyumba zao tena wao wanatembea nazo kabisa na hawana hata makuu, ndio sijajenga sasa ka vipi nijengee....mafao yenyewe tu nikistaafu nitayanywaaaa yani ntafunga bar!!!!!!
Povu povu tu.😏
Hata siwasalimii...... hivi nyie mliofanikiwa kujenga mkoje lakini? Mbona mnajifanya kama vile mlitoka tumboni kwa mama zenu na cement mkononi, mmefika tu duniani na kuanza ujenzi, sio kudolishia huko na hapo utakuta kinyumba chenyewe cha kawaidaaa tu mxyuuu (japo mie hata nyumba isio na mlango tu sina [emoji23] )
Nnaowaongelea hapa hata sio wapokea kodi wetu, ila ni wapenzi watazamaji tu ambao wapo interested na kujua wapi tunalaza vitambi vyetu, kuna vitu kabla haujaongea hebu jiulize mara mbili unaemwambia kitamgusa vipi, imagine unakutana na Mimi sasa nakuuliza mwanao anasoma shule gani unanijibu chaurembo secondary halafu nianze kukushangaa haaa unamsomeshaje huko mie siwezi asee wangu yupo st nanii huko hivo utajisikiaje??? Au mtu anakuuliza unafanya kazi gani, unawezaje kufanya hiyo kazi mie siwezi mxyuuuuuuuuuu
Hivi ushawahi kukutana na kejeli za wenye nyumba? Usiombe awe kakupa na lift jamani utatamani upenye dirishani sijui gari lina dirisha sijui mlango eeh hapo hapo. Swali linaanza kama pepa la hesabu, unapokaa umejenga, ukijibu tu nimepanga...cha kwanza atakutolea mijicho, ndio aanze kushangaa sasa heeeee yani umepanga mi siwezi nna nyumba mbili siwezi kabisa kupanga yani kodi hapana dah siwezi pyeeeee kajambe kule bana hata Kobe na konokono wana nyumba zao tena wao wanatembea nazo kabisa na hawana hata makuu, ndio sijajenga sasa ka vipi nijengee....mafao yenyewe tu nikistaafu nitayanywaaaa yani ntafunga bar!!!!!!
Povu povu tu.[emoji57]
Mwenye mapenzi hawezi kuuliza kazi unayofanya.