Povu langu nisiye na nyumba

Ila kumkabidhi mtu 3-4m (kodi) si masihara! Hebu itaje vizuri MI-LI-O-NI 4!!
Ni kweli , lakini sio sababu kisa umejenga ukikutana na mie uanze mishongondoo oooh siwezi kabisa kodi hapana bla bla ukinambia tu jitahidi ujenge yatosha
 
Mmmh huyo sio mimi asee
 
Ukizeeka ndio utajua umhimu wa kujenga
 
Ni kweli , lakini sio sababu kisa umejenga ukikutana na mie uanze mishongondoo oooh siwezi kabisa kodi hapana bla bla ukinambia tu jitahidi ujenge yatosha
Hivi mtu anaanzaje kukuuliza hivyo?
 
Najenga nyumba ya kawaida nikiwa naishi wapi kwa hiyo miaka 10?
Unapokaa ni uamuzi wako. Wapo walioamua kukaa kwenye chumba cha 50,000/- badala ya nyumba ya 300,000/- pia wapo walioamua kukaa kwao huku wanamalizia nyumba zao. Au popote pale ambapo watu wanakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…