Povu langu nisiye na nyumba

Hizo ni dadali za kuanza kukosa kodi ya watu...
Ni wivu tuu
 
Unapokaa ni uamuzi wako. Wapo walioamua kukaa kwenye chumba cha 50,000/- badala ya nyumba ya 300,000/- pia wapo walioamua kukaa kwao huku wanamalizia nyumba zao. Au popote pale ambapo watu wanakaa

Hii ndo Magufuli aliyosema kuhusu kuishi kama mashetani.

Shukrani.
 
Mmmhhhhh!
Nakufananisha.....
 
Bora kwenye vikoba hata wana sababu, ila sio tu wapenzi watazanaji from no where....

Mara nyingi anayekufanyia hivyo ni mtu ambaye kuna kitu unacho anakionea wivu, anajua kuna kitu unampiga gap, hivyo anafanya hivyo kujifariji kwamba hata yeye kuna kitu ni bora kuliko wewe.

Mtu ambaye hakuonei wivu hawezi kukuponda hivyo.
 
Tunataka kujua uzito wa jukumu tutakalobeba

Mimi mwanaume nilienae mwanzon hakuniuliza kabisa maswala ya kazi na sikuwa na kazi nilishangaa sanaa na plan yake nifanye biashara hapendi mambo ya kuajiriwa,nimepata kazi nipo nae

Wengine sasa swali la kwanza una kazi yaan unajiuliza anataka mshahara wangu au nimkope pesaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unapokaa ni uamuzi wako. Wapo walioamua kukaa kwenye chumba cha 50,000/- badala ya nyumba ya 300,000/- pia wapo walioamua kukaa kwao huku wanamalizia nyumba zao. Au popote pale ambapo watu wanakaa

Kwahiyo niishi kama digidigi for 10 long years sacrificing my quality of life in the hope ya kujenga nyumba ya KAWAIDA, ambayo sitakuwa naifurahia for the rest of my life there, hivyo niendelee kuishi kama digidigi kwa miaka yangu ijayo?

Kwanini hiyo miaka kumi ambayo nina nguvu na akili inachaji nisiitumie kufocus kwenye kutengeneza mpunga mrefu huku nikipumzika mahala pazuri kufacilitate process hiyo, na kisha nitakapokuwa na uwezo nijenge nyumba ninayoweza kuifurahia?
 
Hanna sehemu nimesema ujenge Kwa miaka kumi. Nimepiga hesabu tu mtu anaeishi nyumba ya kupanga kwa muda huo. Mbona mnakariri. Kila mtu anapanga apendacho.
 
Mwenye mapenzi hawezi kuuliza kazi unayofanya.
 
wote nyie mliokata tamaa ya kujenga njooni PM niwauzie kibanda bei pooooooa kabisa mradi iuwe na 9m tu huku huku mjini. Of course ukija pm nitajua uko serious kama umekwama ongea utagongwa na ma boxer
 
Mwenye nyumba marehemu mengi tu sie wengine tuna vibanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…