Kukaa kwenye nyumba za watu stress, kwanza ile pressure tu kodi inapoisha, pili kupangiana masharti mara ooh kuingia kwangu mwisho saa mbili, ukitembelewa na wageni zaidi ya wawili mwenye nyumba anaanza kukukata jicho(sie wengine tunaishi kijamaa), ukiingiza wanaume tofauti tofauti kosa eti anataka awe anakuja mmoja( kupangiana hadi kwenye mambo binafsi kwani we mama yangu ebooo)
#nimwendowapovumwanzomwisho
Eeeeh ni muhimu kufahamiana, huoni hata kwenye movie watu wanavyotambulishanaNi kama wanaume tu yaan utasikia oo unafanya kazi wapi?
Hatari aisee sio poa. Hiyo milioni nne nanunua kiwanja na tofali namwaga
KaribuNaomba nikutembelee tumkomeshe father house
ChanikaKiwanja milioni 4 wapi huko mkuu?
Nielekeze vyema namna ya kufika, nipo seriousKaribu
Mmmh hii Lazima itakuwa chanika ndani ndani mnoChanika
Panda gari ya gomz mwambie konda akushushe kwanguNielekeze vyema namna ya kufika, nipo serious
[emoji3][emoji3][emoji3] suala wewe si kuna viwanja vya milioni nneMmmh hii Lazima itakuwa chanika ndani ndani mno
Wengine mna mapango π kama mnavoandika kwenye mikataba "Kodi ya pango"Mwenye nyumba marehemu mengi tu sie wengine tuna vibanda
Mil 9 si nafunga bar na mtaa, mie siji sinawote nyie mliokata tamaa ya kujenga njooni PM niwauzie kibanda bei pooooooa kabisa mradi iuwe na 9m tu huku huku mjini. Of course ukija pm nitajua uko serious kama umekwama ongea utagongwa na ma boxer
π€£π€£π€£π€£π€£Kuna siku tutapishana na konokono na Kobe watusonye
π€£π€£π€£π€£π€£Usijenge,hakikisha unaolewa na jamaa mwenye nayo
Comment juu ya batiWenye nyumba hapa town, harafu tumepanga Viva tower tuna comments wapi?
π€π€π€π€Ukipanga nyumba ya 300,000/- kwa mwaka ni 3.6m. Ukikaa miaka kumi kama mpangaji utakuwa umelipa 36m. Hio inatosha kujenga nyumba ya kawaida.
Tena majumba wanatembea nayo, tujitahidi kwakweli hebu tuuze simu tujengeπ€£π€£π€£π€£π€£
Kisa wao wana majumba yao na sie hatuna!
Mimi nakusalimia dada Evelyn SaltHata siwasalimii...... hivi nyie mliofanikiwa kujenga mkoje lakini? Mbona mnajifanya kama vile mlitoka tumboni kwa mama zenu na cement mkononi, mmefika tu duniani na kuanza ujenzi, sio kudolishia huko na hapo utakuta kinyumba chenyewe cha kawaidaaa tu mxyuuu (japo mie hata nyumba isio na mlango tu sina π )
Nnaowaongelea hapa hata sio wapokea kodi wetu, ila ni wapenzi watazamaji tu ambao wapo interested na kujua wapi tunalaza vitambi vyetu, kuna vitu kabla haujaongea hebu jiulize mara mbili unaemwambia kitamgusa vipi, imagine unakutana na Mimi sasa nakuuliza mwanao anasoma shule gani unanijibu chaurembo secondary halafu nianze kukushangaa haaa unamsomeshaje huko mie siwezi asee wangu yupo st nanii huko hivo utajisikiaje??? Au mtu anakuuliza unafanya kazi gani, unawezaje kufanya hiyo kazi mie siwezi mxyuuuuuuuuuu
Hivi ushawahi kukutana na kejeli za wenye nyumba? Usiombe awe kakupa na lift jamani utatamani upenye dirishani sijui gari lina dirisha sijui mlango eeh hapo hapo. Swali linaanza kama pepa la hesabu, unapokaa umejenga, ukijibu tu nimepanga...cha kwanza atakutolea mijicho, ndio aanze kushangaa sasa heeeee yani umepanga mi siwezi nna nyumba mbili siwezi kabisa kupanga yani kodi hapana dah siwezi pyeeeee kajambe kule bana hata Kobe na konokono wana nyumba zao tena wao wanatembea nazo kabisa na hawana hata makuu, ndio sijajenga sasa ka vipi nijengee....mafao yenyewe tu nikistaafu nitayanywaaaa yani ntafunga bar!!!!!!
Povu povu tu.π
[emoji3][emoji3][emoji3] suala wewe si kuna viwanja vya milioni nne
π€£π€£π€£π€£π€£Tena majumba wanatembea nayo, tujitahidi kwakweli hebu tuuze simu tujenge