Enzi hizo za mazingaombwe kulikua na
Power Mabula-akivuta gari kwa meno
Profesa Eyesu yeye hana ubabe
Weka makaratasi kwenye chungu inageuka dolaleππππ
Hawa watu wako wapi?
Wakongwe jazieni hapo
Ma power wa siku hizi wamehamia kwenye internet na kuwa mazombieEnzi hizo za mazingaombwe kulikua na
Power Mabula-akivuta gari kwa meno
Profesa Eyesu yeye hana ubabe
Weka makaratasi kwenye chungu inageuka dolale[emoji854][emoji38][emoji38][emoji16]
Hawa watu wako wapi?
Wakongwe jazieni hapo
ila hakumfikia Samson wa Delilah,.[emoji2957][emoji2957]
Bi wema kakufanyaje tena??Aisee Delilah ni shida. Namfananisha na bi wema Sepenga
Bi wema kakufanyaje tena??
Alikudelillah niniiππSi ndo delilah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakumbuka miaka ya 93 huko, alikuja kwenye shule yetu kufanya maonesho!
Na bado miongoni mwao nawakumbuka
1. Power Mabula
2. Power Mwana Kuria
3. Power Iranda
Hii michezo bado inaendelea...
[emoji106][emoji106]Nawakumbuka wote hawa. Mabula alikuja shuleni kwetu dah, mpaka walimu wenyewe na wananchi wa maeneo ya jirani na shule walishangazwa na uwezo wake pale Kijitonyama primary school uwanjani.
Wakati gari linafungwa kamba na kupashwa pashwa, Mabula alienda kuegemea goli moja la pale uwanjani likavunjika (Zilikuwa ni nguzo za miti na sio chuma, nene kama za mistimu hivi dah)