Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

Enzi hizo za mazingaombwe kulikua na
Power Mabula-akivuta gari kwa meno
Profesa Eyesu yeye hana ubabe
Weka makaratasi kwenye chungu inageuka dolale[emoji854][emoji38][emoji38][emoji16]
Hawa watu wako wapi?

Wakongwe jazieni hapo
Ma power wa siku hizi wamehamia kwenye internet na kuwa mazombie
 
Hawa watu walituchangamsha sana enzi hizo kabla ya runinga,kwa bahati mbaya historia zao hazijaandikwa popote.Kanda ya ziwa kulikuwapo watu wa ajabu ajabu Ni mwanamalundi pekee ndiye aliyeandikwa.
Kuna watu walikuwa wakiingia ndani ya darasa lililotupu wanavimba hadi kujaa
 
Huwa naangalia you tube, American got talent. Zina mazingaombwe mengi Sana, hazina tofauti na Akina Power Mabula
 
Members,

Leo katika pita pita zangu asubuhi hii katika vijiwe vya kahawa nimekutana na mjadala wa Power Mabula.

Power Mabula alikuwa na uwezo wa kuvuta gari kwa meno eneo la tambarare.

Power Mabula alikuwa analala chali na gari linapita juu ya kifua chake.

Nasikia sasa Power Mabula ni mchungaji anahubiri na anajutia mambo ya kutisha na michezo hatari alioifanya.

Hakika miaka ile ilikuwa inafurahisha sana

Watu mnajikusanya kwenda kuangalia mambo ya hatari live toka kwa Power Mabula.

Kwa sasa haya mambo hayapo
 
Da namkumbuka sana power Mabula miaka ya 80's-90's,alikuwa anatisha sana lakini alichokuwa anafanya ni Illusion tu (Kiini Macho).

Breaking the Magician's Code: Magic's Biggest Secrets Finally Revealed.

Nakumbuka miaka ya 93 huko, alikuja kwenye shule yetu kufanya maonesho!
Na bado miongoni mwao nawakumbuka
1. Power Mabula
2. Power Mwana Kuria
3. Power Iranda
Hii michezo bado inaendelea...
 
Nawakumbuka wote hawa. Mabula alikuja shuleni kwetu dah, mpaka walimu wenyewe na wananchi wa maeneo ya jirani na shule walishangazwa na uwezo wake pale Kijitonyama primary school uwanjani.
Wakati gari linafungwa kamba na kupashwa pashwa, Mabula alienda kuegemea goli moja la pale uwanjani likavunjika (Zilikuwa ni nguzo za miti na sio chuma, nene kama za mistimu hivi dah)

[emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom