Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,994
- 1,540
Enzi hizo za mazingaombwe kulikua na
Power Mabula-akivuta gari kwa meno
Profesa Eyesu yeye hana ubabe
Weka makaratasi kwenye chungu inageuka dolale🙃😆😆😁
Hawa watu wako wapi?
Wakongwe jazieni hapo
Bonyeza hiyo link hapo chini, wenzio washajadili humo.
power-mabula-mtu-aliyetikisa-enzi-zake.