Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

binafsi nimemsikia tuu..simjui hata anafananaje?

Utakuwa bado kijana mdogo sana,enzi hizo shule za msingi kiingilio 20 kumuona power Mabula.
Siku hizi kumuona Diamond 50,duh kweli pesa yetu imekuwa ya madafu(Nimemnukuu Prof jaman msije nivurumishia mitusi).
 
Utakuwa bado kijana mdogo sana,enzi hizo shule za msingi kiingilio 20 kumuona power Mabula.
Siku hizi kumuona Diamond 50,duh kweli pesa yetu imekuwa ya madafu(Nimemnukuu Prof jaman msije nivurumishia mitusi).

mdogo kvp? zamani hata hii mitandao ilikuwa nadra, kwetu kulikuwa mbwinde sana asingeweza kufika
 
Pawa Mabula asili yake kanda ya ziwa. Aliweza kuzuia trekta lisitembee kwa nyele zake na aliweza kuvuta watu wazima walioshiba 20 kwa meno yake. Tairi ya trekta iliweza kupita juu ya tumbo lake akiwa amelala bila kumdhulu. Kilo 100 yeye alizinyenyua kwa meno yake. Miaka ya 1990 kuelekea 2000 alipigana pia mieleka, mpinzani wake mkubwa akiwa Pawa Ngoro.
 
hivi ni nani haswa na anakaa wap

Amefariki kama sikosei, alikuwa afisa waJWTZ, wakati wa vita ya Uganda alikuwa kikosi kimoja na baba yangu anasema alikuwa na uwezo wa kupangua risasi za adui kwa mikono, baada ya vita alikuja nyumbani kwetu mara mbili lakini nilikuwa nakimbia kwa kumuogopa.
 

muraa
alikua anapangua risasi kwa mkono ina maana alikua mchawi?
 
Yes kwa maelezo ya baba naweza kusema alikuwa hivyo. Kwa kuwa anasema alikuwa anatumia dawa za kisukuma

aiseee atakua alichanjiwa aiseee
ila sasa vipi kuhisu wakeze huna hata picha tumuenzi huyu jamaa
miss chagga njoo unaona nimepata habari bila kulipia
 
Last edited by a moderator:
Daah! Umenikumbusha mbali sana,, enzi hizo shule ya msingi,, huyu jamaa alikuwa mnene mfupi ana matege hivi alikuwa JKT,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…