Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

yeah ni kweli nina mahusiano nae ya kimapenzi na kama unavyojua ukiwa na damu changa kama mimi lazima niifanye damu yako iende kwa kasi mwilini na daima utaonekana kijana kwa sababu huna mawazo
 
Hongera mwanamke
 
naomba msinisaidie namba yake kama bado yupo single
 
sasa upweke umeszidi ngoja nijaribu na mimi ila usije ukaniimba mara nani vile
 
Huyu ndio wife material....ni wachache wenye kulitambua hilo.....
ukioa mwanamke type yß jide hata kama ukifa hutokuà na stress huko kaburini, maana utakua na uhakika watoto wako wataishi tu kwa vyovyote. Huyu ni mwanamke ambae wanaume tunapaswa kuoa aina hii, mambo mengine ni kuvumiliana
 
sawa mshauri wa ndoa, umesikika.
 
ukioa mwanamke type yß jide hata kama ukifa hutokuà na stress huko kaburini, maana utakua na uhakika watoto wako wataishi tu kwa vyovyote. Huyu ni mwanamke ambae wanaume tunapaswa kuoa aina hii, mambo mengine ni kuvumiliana
Wewe ni miongoni mwa wale wachache wenye ufahamu na wenye kuona mbali.....ubarikiwe sana mkuu....
 
jide sio mwanamke mbaya, urembo wake unazidi kufichuka baada ya kauchana na gadner
 
kuna vitu vingine katika maisha lazima ukubali tu kuwa huna, jide ana kila kitu lakini hana mtotot, kila mtu ana pigo lake duniani
 
ila kiukweli huyu dada ana sura "nzito" yaani umaarufu na mapoda yanamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…