Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mwanamke![]()
Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa anampa stress Dada wa watu.. Kuna mijanaume mingine ni stress tupuu[emoji57] Ona sasa alivokuwa mcharoo
Nampenda sana huyu Mdada mpaka basi
#huumchezohautakihasira.. NDINDINDINDI[emoji4] [emoji4] Mtaziogaaa
Hakijawahi nyonyesha mkuu, huzuni sanakifua chake mbona flat kabisa?
Duu!! Punguza misemo rafiki. Kwa hiyo JD amebeba flat screen huko kunakoUzuri wa Nyumba Choo.
Dah taratibu MkuuHuyu jd labda azamishwe baharini siku 30 ndio atalainika.na hapo ndio ana pesa
ukioa mwanamke type yß jide hata kama ukifa hutokuà na stress huko kaburini, maana utakua na uhakika watoto wako wataishi tu kwa vyovyote. Huyu ni mwanamke ambae wanaume tunapaswa kuoa aina hii, mambo mengine ni kuvumilianaHuyu ndio wife material....ni wachache wenye kulitambua hilo.....
sawa mshauri wa ndoa, umesikika.ukioa mwanamke type yß jide hata kama ukifa hutokuà na stress huko kaburini, maana utakua na uhakika watoto wako wataishi tu kwa vyovyote. Huyu ni mwanamke ambae wanaume tunapaswa kuoa aina hii, mambo mengine ni kuvumiliana
Maana unaishi chooni........Uzuri wa Nyumba Choo.
Wewe ni miongoni mwa wale wachache wenye ufahamu na wenye kuona mbali.....ubarikiwe sana mkuu....ukioa mwanamke type yß jide hata kama ukifa hutokuà na stress huko kaburini, maana utakua na uhakika watoto wako wataishi tu kwa vyovyote. Huyu ni mwanamke ambae wanaume tunapaswa kuoa aina hii, mambo mengine ni kuvumiliana
Kama wewe unavyoishi chooni.Maana unaishi chooni........
hilo pozi nimelipenda, anaonekana hana stress na she does not care anymore, safi sana jide![]()
Nimeipenda hii, hair style pia nzuri
jide sio mwanamke mbaya, urembo wake unazidi kufichuka baada ya kauchana na gadnerHakuna mwanamke mbaya duniani. Ni wewe tu unavyomchukulia. By the way jide sio mlimbwende wa urembo. Kazi yake ni kuuza sauti yake. Tumemfahamu kupitia sauti yake. Ila ndoa zinaficha mengi. She is beautiful banaaa! Nampenda huyu dada ni kati ya wanawake wanaojitambua!
kuna vitu vingine katika maisha lazima ukubali tu kuwa huna, jide ana kila kitu lakini hana mtotot, kila mtu ana pigo lake dunianiHivi kweli jamani.....TZ nzima hakuna mwanaume RIJALI wa kumpachika mimba huyu Jideee jamani....maana nasikia amehangaika vya kutosha lakini mambo bado bila bila...na sasa ndio ameshafika saa 11 jioni....hivi hakuna wa kumsaidia kweli?? Kama vipi naomba mtu wa kuniunganisha nae ili nimpe japo mtoto mmoja tu maana hilo lipo ndani ya uwezo wangu.....hata kama atasema akishika mimba tu nisimjueee its' OK lakini ni bora awe na mtoto amfairiji na kumondolea stress.....any one to connect me with her pleasee
Jide anapendeza mwenyewe , dah sasa hiv hana stressAnazidi kunenepeana tu......
Labda kapata mwanaume anaemkuna haswaa... mana mapenzi nayo yanaweza kukupa stress hatari