Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

yeah ni kweli nina mahusiano nae ya kimapenzi na kama unavyojua ukiwa na damu changa kama mimi lazima niifanye damu yako iende kwa kasi mwilini na daima utaonekana kijana kwa sababu huna mawazo
 
ab0272b230f6e1f540e748483c8ed3f5.jpg

Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa anampa stress Dada wa watu.. Kuna mijanaume mingine ni stress tupuu[emoji57] Ona sasa alivokuwa mcharoo
Nampenda sana huyu Mdada mpaka basi
#huumchezohautakihasira.. NDINDINDINDI[emoji4] [emoji4] Mtaziogaaa
Hongera mwanamke
 
naomba msinisaidie namba yake kama bado yupo single
 
Huyu ndio wife material....ni wachache wenye kulitambua hilo.....
ukioa mwanamke type yß jide hata kama ukifa hutokuà na stress huko kaburini, maana utakua na uhakika watoto wako wataishi tu kwa vyovyote. Huyu ni mwanamke ambae wanaume tunapaswa kuoa aina hii, mambo mengine ni kuvumiliana
 
sawa mshauri wa ndoa, umesikika.
 
ukioa mwanamke type yß jide hata kama ukifa hutokuà na stress huko kaburini, maana utakua na uhakika watoto wako wataishi tu kwa vyovyote. Huyu ni mwanamke ambae wanaume tunapaswa kuoa aina hii, mambo mengine ni kuvumiliana
Wewe ni miongoni mwa wale wachache wenye ufahamu na wenye kuona mbali.....ubarikiwe sana mkuu....
 
Hakuna mwanamke mbaya duniani. Ni wewe tu unavyomchukulia. By the way jide sio mlimbwende wa urembo. Kazi yake ni kuuza sauti yake. Tumemfahamu kupitia sauti yake. Ila ndoa zinaficha mengi. She is beautiful banaaa! Nampenda huyu dada ni kati ya wanawake wanaojitambua!
jide sio mwanamke mbaya, urembo wake unazidi kufichuka baada ya kauchana na gadner
 
Hivi kweli jamani.....TZ nzima hakuna mwanaume RIJALI wa kumpachika mimba huyu Jideee jamani....maana nasikia amehangaika vya kutosha lakini mambo bado bila bila...na sasa ndio ameshafika saa 11 jioni....hivi hakuna wa kumsaidia kweli?? Kama vipi naomba mtu wa kuniunganisha nae ili nimpe japo mtoto mmoja tu maana hilo lipo ndani ya uwezo wangu.....hata kama atasema akishika mimba tu nisimjueee its' OK lakini ni bora awe na mtoto amfairiji na kumondolea stress.....any one to connect me with her pleasee
kuna vitu vingine katika maisha lazima ukubali tu kuwa huna, jide ana kila kitu lakini hana mtotot, kila mtu ana pigo lake duniani
 
ila kiukweli huyu dada ana sura "nzito" yaani umaarufu na mapoda yanamsaidia
 
Back
Top Bottom