PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

Ni upande wako. Uwe makini, mzalendo. Kusimamia value for money.

Usikubali mtabata wowote mbovu. Rudisha tenda kiwanjani,Brazil, Chinese, European, Afrikan, Arabs will come up with better deal.
 
ahadi zote kabla ya uchaguzi uwa siziamini hadi nione kwa vitendo ujenzi umeanza. hapo wanawaseti tu msipoteze muda kuwaamini maccm.
 
Pambaf Acha stori za kiwaki.. bila
No Reforms, No Election.

Hakuna lolote under CCM
 
Nimeelewa kumbe wamefanya mazungumzo, ni vizuri kuwa na mazungumzo.
Hizo reli zajuu ndio zinakuwaje maana pale posta hata mradi wa mabasi yaendayo kasi haujakamilika,
Mambo ni dabo dabo
Safi sana Tanzania
 
Nimeelewa kumbe wamefanya mazungumzo, ni vizuri kuwa na mazungumzo.
Hizo reli zajuu ndio zinakuwaje maana pale posta hata mradi wa mabasi yaendayo kasi haujakamilika,
Mambo ni dabo dabo
Nyie machawa wa no reform no erection mtazielewaje reli za juu? Hayo ndiyo mambo makubwa anayoyafanya mama. Mama hatumdaaaaii
 
Mnaangalia tu mambo ya kuwapumbaza watu na kumdanganya mama, nenda stand ya magufuli mbezi iko hoi na watu wanapiga kinoma, nenda stand ya mabus dodoma imechoka utadhani inamiaka mia.
LATRA WAPO MJINI TU lkn huko kwa wasukuma hata ticket za kielectronic hawazijui. Then mtamwambia mama unaupiga mwingi,
Mimi sijui TUNAPIGA AU TUNAPIGWA
 
Mzee wa PPP katika moja na mbili πŸ˜‚ yani anapambana kupata angle ya ulaji kila mahali 😁 expressway bado hajakamilisha kashawaita waendesha trams πŸ˜„!
Maneno mengi sana huyo

Ova
 
Story na ahadi zimekuwa nyingi sana kutoka wezi wa serikalini. Sijui ni kwann hamuwezi kufanya mambo yenu kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…