PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

Kwa hiyo, tuna fumua upya hivi vituo vya mwendo kasi ili tujenge relief ya juu...!?
 
Mwendo kasi una kufa je hizo watawezana
 
Mzee wa PPP katika moja na mbili 😂 yani anapambana kupata angle ya ulaji kila mahali 😁 expressway bado hajakamilisha kashawaita waendesha trams 😄!
Members wa hapa waliokuwepo kipindi cha Kikwete nadhani watakumbika ''mradi'' wa tapeli mmoja kutoka Marekani wa kujenga train kutoka airport mpaka mjini. Ni tapeli mmoja alifanikiwa kumwingia Kikwete na kufanya naye mazungumzo.

 
Ni kwamba watu waende Kwa tahadhari
 
Hongera PPP
 
Unampa hongera, amekwambia huo mkataba kwa ajili ya kurejesha fedha zao utachukua miaka mingapi?

Nawe umechukua calculator machine yako ukapiga hesabu zikawiana ndiyo kisa cha kutoa hongera reja reja za kichawa?

Haujui kutoa hongera za kipumbaf pumbaf kunapumbaza wasioweza kuevaluete mambo?

Kwa nilivyokosa imani na Serikali hii, wawezakuta ni mbinu za upigaji tu hizo.
 
No Reforms, No elections
 
Tuupumzishe mji Kwanza, tunabomoa na kujenga hovyohovyo kila siku.

Pale Jangwani wekeni Daraja haraka acheni blah blah, tanueni ule mto all the way to baharini..
Unaota?

Kazi zishanza kabla hujafikiria.

Reconciliation, Resilience, Reforms, Rebuild.
 
Nimeelewa kumbe wamefanya mazungumzo, ni vizuri kuwa na mazungumzo.
Hizo reli zajuu ndio zinakuwaje maana pale posta hata mradi wa mabasi yaendayo kasi haujakamilika,
Mambo ni dabo dabo
Umeambiwa ni reli za juu
 
Iwe kweli sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…