Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Tunatamani kutoa zawadi za gari , wengine hizi hela tunataka tukatubu hata kama hatuko mahabusu angalau zitumike kujenga flyover si lazima pm zenu na nyinyi tumeni
 
Saa hizi ni mambo ya bad $boujee naona watu wamekuwa kama avatar......
Jaman mshauri wa wema amkanseli wema.....adi kachukiza
 
Unene sio mzuri ila dah kulikua na kipindi wema alikua akipost picha yan Instagram inasimama. Siku hizi kadororaa hana mvuto tena hipsi zimeshuka, uso umemkomaa yani tabu tupu
 
Watu bwana badala ya kusheherekea nimefanya nini miaka yote hiyo mtu anafurahia number tu kila mwaka unafanya sherehe je unapiga hatua za kimafanikio? sio lazima pesa hata kimaisha tu. Mimi ni kati watu siamini huu upuuzi wa BD sijui naona kama ya watoto na watoto ni kule kufurahia vijizawadi na kuvaa nguo mpya lakini jitu kubwa zima sijui leo BD yangu.. haya maoni yangu tu
 
Ni mtazamo mzuri pia.
 
Hakuna watu wanaopenda ku-fake life kama hawa celebs (actors/actresses/musicians) na social elites. Wao through 'kiki' ndio wanaishi na kuboost fame ili waweze kwenda sawa na wenzao ila in real life hakuna kitu kabisa. Mfano mzuri, kuna siku nilikua pale Triple 7 (roundabout ya kawe) mida Fulani ya mchana nilienda kupata menu na kinywaji kidogo. Aliingia yule msanii gigy money akiwa na crew ya wenzake kama wanne hivi tena walikuja na bajaji, wakakaa kwenye meza moja wakaagiza konyagi kubwa wakawa wanashare huku wakiwa wanapiga simu mbalimbali (sijui ndio kwa madanga wao) wakitengeneza mazingira ya vizinga. Nilishangaa sana ukizingatia gigy alikua ajitapa huko kwenye social networks kua anavaa mawigi ya milioni sijui. Halafu ukimuangalia sasa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (aisee shikamoo filters) utajikuta unachekea mbavuni.
The downfall of wema ilikua after alivopoteza udhamini wa yule (diplomat) aliyemfunguliaga movie production company akamjazia full ma Macintosh PC akampa na ndinga ila baada ya kugundua Kuna watu wanajitifulia kiulaini mshua akamwaga mboga, nyang'anya kila kitu wema. Jiulize kama almost kila bday anapewa ndinga, je kwa sasa ana ndinga ngapi? Ndio maana kuna kipindi alikua so stressed mpaka akawa anavuta ndukuru hadharani pale ununio beach kwa Rasi...
Mifano ipo mingi tu, kama wale ma presenters wa clouds ambao mkikutana nao pale msasani beach club wanaomba bia na kugongea hadi sigara lakini majina makubwa, followers kibao kwenye social networks. Conclusively, kuna maisha halisi na maisha ya kwenye mitandao ya kijamii..
 
Back
Top Bottom