Pre GE2025 Predection: CCM itashinda zaidi ya 90%- 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani nani anashangaa?
Nadhani safari hii AI itawarahishia wizi.
 
😂😂😂

Nimemjibu Muislamu wa ukweli malaria 2 siyo wewe mkaanga Nyama ya nguruwe 😀😀

Ulale Unono Ustaadh
Mkapa umeumizwa, Malaria sugu na yeye kaja hapa kakubamiza, sasa unaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Si mnajifanya watu teknolojia? AI ndiyo kishasema, anamuona Mama Samia akiibuka na ushindi kwa asilimia 90.
 
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia."
Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data)
Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine.
Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu.
Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine.
Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema

UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Jiandae kupokea matusi mengi. CCM ina ukaribu na mwananchi wa kawaida.

Wanaompinga SSH na awamu yake ni hawa mafundi wa kukosoa waliopo facebook, instagram, X na katika platforms za mijini pekee.

Huko vijijini hawajulikani kabisa, ni hawa kina Tindo wa JF wanaolalamika uchaguzi kuibiwa wakati wapo mbali na wananchi wa kawaida.
 
Samia hatoshi na analijua hilo.

Uchaguzi kama ungekuwa huru sio kwa hiyo "tume huru" ya jina . Yaani ikawepo tume huru halisi

Wasimamizi wa uchaguzi wasiwe wanateuliwa wala kula kiapo kwa rais na hao wakurugenzi ambao ni makada wa CCM wakae pembeni.

Vyombo vya dola vikae kando na visimamie uchaguzi kwa weledi.

Nakuhakikishia hayo yakifanyika Samia havuki hata 20% ya kura zitakazopigwa.
 
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia."
Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data)
Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine.
Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu.
Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine.
Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema

UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Alishasema Nape jinsi itakavyokuwa 😳🙌👍
 
Wewe unaweza kunipa guarantee utaishi 💯 mpaa kesho asubuhi hebu sema ili tuamini kufa sio amri ya Mungu.
Mimi nitaishi hata zaidi ya kesho maaana kuishi kwangu ni kristo na kufa kwangu ni faida maana namwamini Mungu aliye Hai.
 
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia."
Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data)
Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine.
Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu.
Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine.
Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema

UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Kwa nn umeitaja Chadema hakuna vyama vingine?
 
Mimi nitaishi hata zaidi ya kesho maaana kuishi kwangu ni kristo na kufa kwangu ni faida maana namwamini Mungu aliye Hai.
Aisay shetani asifiwe anawapeni nguvu mpaa unamini roho yako haiondoki kabisa mpaa kesho kutwa bado utapumua tu. Sa ukifa tutajuaje hapa.
 
Na rushwa ndani ya chama
Kuna wanaogawa rushwa kama wagombea wa CCM Tanzania hii? Hivi tutaendelea kupokea vipipipipi kila kukicha wanajipitisha mpaka eti anayetaka kugombea ujumbe wa mtaa naye anatoa rushwa. Wananchi wa kawaida CCM wanapata khanga, t-shirt, miche ya matunda. Viongozi wao wanalamba majiko ya gas, baiskeli, Pikipiki wao wanaishia kupanga foleni kuwapa ulaji!
 
Back
Top Bottom