FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hivi hujuwi kuwa Tanzania ni Republic na siyo democracy?Kwani kwenu mgombea ni mmoja hakuna Democracy?
Hiyo democracy umeiona wapi? Au unaisikia tu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hujuwi kuwa Tanzania ni Republic na siyo democracy?Kwani kwenu mgombea ni mmoja hakuna Democracy?
Unamaanisha 90% ya watiz ni wajinga na wapumbavu??Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia."
Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data)
Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine.
Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu.
Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine.
Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema
UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Ni republic anapokuwa raisi ni dini yetuHivi hujuwi kuwa Tanzania ni Republic na siyo democracy?
Hiyo democracy umeiona wapi? Au unaisikia tu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hoja imekuwa nzito kwako.Ni republic anapokuwa raisi ni dini yetu
Udini tunumekujaa
Hujui kitu unaendedhwa na ushabiki wa kidiniHoja imekuwa nzito kwako.
Unaongelea dini kama vile kitu kibaya mtu kuwa na dini. Unanchekesha.
Mimi nna dini yangu Uislam, tena najivunia sana Uislam wangu.
Hujishangai wewe kafiri mkubwa usiye na dini? Una kipi cha kujivunia?
Peoples Republic of Tanzania. Ndiyo jina la nchi yako kama ulikuwa huelewi.
Aliyekwambia hii nchi ni democracy alikudanganya kijinga kabisa.
Katiba inayotumika sasa hivi iliandikwa na nani?
Kwanza sahihisha hiyo “predection”.Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine. Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu. Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine. Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema
UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Kumbe nchi hatuko salama Hamas hamko wachacheMada ya ushindi wa Mama Samia kwa 90% imekuwa ngumi nzito kwako.
Chalii, upo chini unarusha rusha miguu, wakuletee maji?
Na kama uchaguzi ungekuwepo tz baada ya Nape kusema vile tume ya uchaguzi ingejitokeza kujitetea lkn wote tuliona kimyaa.Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Refa, linesman, kamisaa wote unalazimsha wewe ndio uwachague, unapotezaje pambano hapo? Hakuna watu wanaojitambua wataendelea kujitokeza kupoteza muda wako kwenye hilo igizo liitwalo uchaguzi. Inshort mazombie ndio watajitokeza kupiga kura. Na kwa mazombie hao, hata hiyo 90% ni kama umekadiria chini.
Hakuna nchi inaitwa People’s Republic of Tanzania; kuna United Repubic of Tanzania, nyie wahamiaji mko wengiHoja imekuwa nzito kwako.
Unaongelea dini kama vile kitu kibaya mtu kuwa na dini. Unanchekesha.
Mimi nna dini yangu Uislam, tena najivunia sana Uislam wangu.
Hujishangai wewe kafiri mkubwa usiye na dini? Una kipi cha kujivunia?
Peoples Republic of Tanzania. Ndiyo jina la nchi yako kama ulikuwa huelewi.
Aliyekwambia hii nchi ni democracy alikudanganya kijinga kabisa.
Katiba inayotumika sasa hivi iliandikwa na nani?
Kwa wizi kama kawaida au akili bandia matakoKatika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine. Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu. Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine. Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema
UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Jo unamchokoza Malaria SuguIsrael inamuwinda Kiongozi mpya wa Hamas 🐼
Ni yeyeMalaria sugu😂
Ndiye yeye kweli?
Kiongozi wenu mpya wa Hamas anatunguliwa kesho mchana.Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.
Unaweza kutumia Deep learning, Random Forest, Regression na nyengine. Mimi nimetumia Machine learning (Random forest ) katika utabiri wangu. Result ni kwmba CCm Chini ya Dr Samia itapa ushindi 90% dhidi ya vyama vyengine. Mikoani CCM inapendwa sana kuliko Chadema
UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI
Kwanini usiende kuipigania dini huko Gaza?? Au umekalia kukatika tu Dera lakoMuislam akifa anapigania dini yake na heshima yake huyo atakuwa amefuzu.
Hili linaniuma kweli kiongozi..yaani 24/7 Yanga Simba, Simba Yanga...sijui tumejikatia tamaa na MAISHA?Misukule yenu ipo bize na soka.
Huyu Malaria Sugu aliboa sana kipindi cha Dkt Kikwete nadhani alikuwa hapendwi kiasi kwamba ilikuwa hata achomwe moto hahaha naona akapotea karudi tenaMalaria sugu😂
Ndiye yeye kweli?
Itapata chini ya 19%.Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea.