Pre GE2025 Predection: CCM itashinda zaidi ya 90%- 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani kwenu mgombea ni mmoja hakuna Democracy?
Hivi hujuwi kuwa Tanzania ni Republic na siyo democracy?

Hiyo democracy umeiona wapi? Au unaisikia tu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wataiba Kura watashinda kwa kishindo. Hapo ni kuanzia 170% - 500%
 
Unamaanisha 90% ya watiz ni wajinga na wapumbavu??

Mnajamini
 
Ni republic anapokuwa raisi ni dini yetu
Udini tunumekujaa
Hoja imekuwa nzito kwako.

Unaongelea dini kama vile kitu kibaya mtu kuwa na dini. Unanchekesha.

Mimi nna dini yangu Uislam, tena najivunia sana Uislam wangu.

Hujishangai wewe kafiri mkubwa usiye na dini? Una kipi cha kujivunia?

Peoples Republic of Tanzania. Ndiyo jina la nchi yako kama ulikuwa huelewi.

Aliyekwambia hii nchi ni democracy alikudanganya kijinga kabisa.

Katiba inayotumika sasa hivi iliandikwa na nani?
 
Hujui kitu unaendedhwa na ushabiki wa kidini
 
Kwanza sahihisha hiyo “predection”.
Mtatuambia tusistuke mkiiba kura kwa 90%.
Tanzania ya sasa ikibigia kura CCM kwa 90% nitaamini maneno ya waKenya Rais wa Tanzania anatawala maiti
 
Na kama uchaguzi ungekuwepo tz baada ya Nape kusema vile tume ya uchaguzi ingejitokeza kujitetea lkn wote tuliona kimyaa.
 
Hakuna nchi inaitwa People’s Republic of Tanzania; kuna United Repubic of Tanzania, nyie wahamiaji mko wengi
 
Kwa wizi kama kawaida au akili bandia matako
 
Kiongozi wenu mpya wa Hamas anatunguliwa kesho mchana.
 
Hata Bangladesh sheikh hasina alishinda kwa kishindo na amekimbia nchi, mauchafuzi ya wizi tu
 
Itapata chini ya 19%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…