JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Man UTD tumeamka kutoka kwenye usingizi wa ponoBaada ya kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, Manchester United imeamka na kuipa Liverpool kipigo cha magoli 2-1 katika mtanange wa Premier League kwenye Uwanja wa Old Trafford...
Beki ya mpira hiyo
Mkuu wachezaji nao ni binadamu sio roboti wanachoka!!msimu huu mjiandae tu , tena mbona bado sana!!msimu ulioisha nadhani ndio timu iliyocheza michezo mingi zaidi ulaya!!Yaan klopp kazi imemshinda yaani ata kama hao wagonjwa wakirudi sioni viungo wa kuunganisha hii timu yaan ni thiago pekee timu nzima
Kwa kazi ipi?
Huyu ndo mtu wa kazi sasa kudaaadeki.
Sie na nani??Kwa kazi ipi?
Si mlikuwa mnamtukana nyie ooh beki gani mfupi kama kibwengo
Hiii ndo united Yangu ambayo haitabiriki. Kesho akikutana na Fulham anachezea Kumuacha, Ronaldo ilikuwa big move. Vibanda umiza tumevikimbia siku hiz.Baada ya kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, Manchester United imeamka na kuipa Liverpool kipigo cha magoli 2-1 katika mtanange wa Premier League kwenye Uwanja wa Old Trafford...
Kwendaa ,,Hongereni Kwa kufufuka, ila mnakomaaga na timu kubwa wakija wakina Brighton mnapumulia mashine