Presha ya maandamano: Ulinzi waimarishwa Dar, Askari wasambaa vituo vya mwendokasi na makutano ya barabara

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana kufanya doria na kuweka ulinzi katika vituo na makutano muhimu ya barabara.

Mwananchi imezunguka maeneo mbalimbali ya jiji na kushuhudia askari wakiwa wamepangwa katika vikundi kwenye vituo vya mabasi ya mwendokasi na makutano ya barabara zinazoelekea katikati ya jiji, ikiwemo Mtoni kwa Azizi Ally, Tazara, Buguruni, Uhasibu, Ubungo, Mwenge, Magomeni, Mnazi Mmoja na Fire.

Mbali na askari waliokuwa na silaha, wengine walionekana wakiwa wamevalia vifaa vya kutuliza ghasia, huku magari ya polisi ya kuwatawanya waandamanaji (maarufu washawasha) na magari ya doria yakizunguka kutoka eneo moja hadi jingine kama sehemu ya kuimarisha usalama.
 
Wanahangaika tu, watanganyika wenyewe hawana hata muda wa kuandamana,
 
Haya yote ni very unnecessary, serikali inaacha kutumia gharama ndogo ya kuwasikiliza watu, insignia gharama kubwa ku-fund majeshi ili yapambane na wananchi. Hii ni mpaka lini? Maana watu wataendelea kudai haki zao kama si kesho basi kesho kutwa. Tibu tattoo na si kusogeza muda
 
Chadema sio watu. Watu wanapaswa kusikiliza Sasa hivi wako busy mashambani na mabarabarani kusaka shilingi, hao wanakuja kuhamasisha vurugu Ili kuwachomea biashara zao sio watu na hawapaswi kusikilizwa Wala kupewa nafasi ya kuwasikiliza.
 
Sema wewe, usimsemee mtu. Wacha kuwatia woga watu. Kuandamana ni haki ya kikatiba. Hakuna anayesema atafanya fujo. Ni kupaza sauti kwa wazulimati
Amesema yanayoonekana mtaani kama wewe unavyosema yanayoonekana huko chadema kwenu. Halafu mbona sioni alipomtia mtu woga Wala aliposema sio takwa la kikatiba.......ni wewe tu ndiye ambaye hujataka (najua mnakatazwa na chadema na kitima wenu) kusema kuwa kulinda amani na utulivu pia ni takwa la kikatiba la viongozi na serikali yote.
 
Chadema sio watu. Watu wanapaswa kusikiliza Sasa hivi wako busy mashambani na mabarabarani kusaka shilingi, hao wanakuja kuhamasisha vurugu Ili kuwachomea biashara zao sio watu na hawapaswi kusikilizwa Wala kupewa nafasi ya kuwasikiliza.
Mhamasisha vurugu ni CCM na serekali yake, inayoratibu utekaji, mauaji na kubambuka kesi.
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana kufanya doria na kuweka ulinzi katika vituo na makutano muhimu ya barabara.

Mwananchi imezunguka maeneo mbalimbali ya jiji na kushuhudia askari wakiwa wamepangwa katika vikundi kwenye vituo vya mabasi ya mwendokasi na makutano ya barabara zinazoelekea katikati ya jiji, ikiwemo Mtoni kwa Azizi Ally, Tazara, Buguruni, Uhasibu, Ubungo, Mwenge, Magomeni, Mnazi Mmoja na Fire.

Mbali na askari waliokuwa na silaha, wengine walionekana wakiwa wamevalia vifaa vya kutuliza ghasia, huku magari ya polisi ya kuwatawanya waandamanaji (maarufu washawasha) na magari ya doria yakizunguka kutoka eneo moja hadi jingine kama sehemu ya kuimarisha usalama.
Hakuna mandamano wala nini lakini kwa kuwa wanalinda Usalama ni jambo jema acha waendelee kulinda vizuri maisha yanaendelea
 
Chadema sio watu. Watu wanapaswa kusikiliza Sasa hivi wako busy mashambani na mabarabarani kusaka shilingi, hao wanakuja kuhamasisha vurugu Ili kuwachomea biashara zao sio watu na hawapaswi kusikilizwa Wala kupewa nafasi ya kuwasikiliza.
Chadema hawajaitisha mandamano popote na hayo mandamano hayapo na hayatakuwepo acheni kupotosha umma
 
Mnaoomba picha, 1 image 400bulets.
Kama ni uoga wa kiwango sgr kiasi hicho, basitusingeliziona picha za wahanga wa kambi za mateso ya Hitler.

Ambapo mpigaji wa hizo picha alikuwemo ndani kabisa ya kambi hizo za mauaji, sasa sembuse barabarani humo, mbona ni rahisi sana!

Rekodi matukio kama mtu anayejikuna ama anayejitoa kibanzi jichoni, siyo kufotoa hadi ujipinde mgongo na kuonekana unafanya nini.
 
Chadema sio watu. Watu wanapaswa kusikiliza Sasa hivi wako busy mashambani na mabarabarani kusaka shilingi, hao wanakuja kuhamasisha vurugu Ili kuwachomea biashara zao sio watu na hawapaswi kusikilizwa Wala kupewa nafasi ya kuwasikiliza.
Punga jingine la kizimkazi
 
Back
Top Bottom