Presha ya maandamano: Ulinzi waimarishwa Dar, Askari wasambaa vituo vya mwendokasi na makutano ya barabara

CCM wana hali ngumu sana, washauri wao hawana AKILI
Maana njia wanazotumia kutatua matatizo ndio zinazidisha chuki na Hofu ya wananchi dhidi ya utawala wao
 
Kwani yale maandamano ya 29 kuna mtu alitangaza kwamba yatakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…