President Barack Obama's message to Kenyans on the March 2013 elections.

President Barack Obama's message to Kenyans on the March 2013 elections.

Leo nimesikia Obama akiwatakia watu wa Kenya Uchaguzi mwema na wenye fanaka alianza na HABARI ZENU na mwisho kumalizia KWAHERI.Nikajiuliza kumbe wenzetu wa Kenya wapo juu sana kwa lugha ya kiswahili tofauti na ss hapa Bongo ambapo asilimia 100% ni matumizi ya kiswahi sikjawahi kusikia hotuba hata moja ya kiongozi wa nje kwa Tanzania akiweka neno la kiswahili zaidi ya kingereza.Kweli nimekubali Wakenya wapo Juu na lugha ya kiswahili ni yao BIG UP wakenya ss tunalala,ETI bila kingerzea no maendeleo sasa OBAMA kaonyesha kiswahili ni lugha ya Kenya BAKITA VIP!!!!!!

Basi Obama kuongea neno moja tu la kiwahili basi wakenya wako juu. Kwa hiyo papa wa roma anavyowaongelesha watu wengi wa dunia kwa lugha zao akiwatakia kilisimasi njema yeye sijui tusemeje (maana hata kiswahili anaongea)
 
Wakati rais wa Marekani anawahutubia wakenya kwanjia ya video sikufanikiwa kuiona hivyo niikosa message yenyewe na maudhui yake.tafadhali kuna mwanaJf mwenye hiyo clip anaweza kufanyia attachment kwenye e-mail yangu? kabiriga.deus@gmail.com
 
Kawaida sana
Leo nimesikia Obama akiwatakia watu wa Kenya Uchaguzi mwema na wenye fanaka alianza na HABARI ZENU na mwisho kumalizia KWAHERI.Nikajiuliza kumbe wenzetu wa Kenya wapo juu sana kwa lugha ya kiswahili tofauti na ss hapa Bongo ambapo asilimia 100% ni matumizi ya kiswahi sikjawahi kusikia hotuba hata moja ya kiongozi wa nje kwa Tanzania akiweka neno la kiswahili zaidi ya kingereza.Kweli nimekubali Wakenya wapo Juu na lugha ya kiswahili ni yao BIG UP wakenya ss tunalala,ETI bila kingerzea no maendeleo sasa OBAMA kaonyesha kiswahili ni lugha ya Kenya BAKITA VIP!!!!!!
 
Leo nimesikia Obama akiwatakia watu wa Kenya Uchaguzi mwema na wenye fanaka alianza na HABARI ZENU na mwisho kumalizia KWAHERI.Nikajiuliza kumbe wenzetu wa Kenya wapo juu sana kwa lugha ya kiswahili tofauti na ss hapa Bongo ambapo asilimia 100% ni matumizi ya kiswahi sikjawahi kusikia hotuba hata moja ya kiongozi wa nje kwa Tanzania akiweka neno la kiswahili zaidi ya kingereza.Kweli nimekubali Wakenya wapo Juu na lugha ya kiswahili ni yao BIG UP wakenya ss tunalala,ETI bila kingerzea no maendeleo sasa OBAMA kaonyesha kiswahili ni lugha ya Kenya BAKITA VIP!!!!!!

Yaani kwa kuwa Obama ndo kasema 'habari zenu' na 'kwaherini', basi ndo wakenya wapo juu kwa kiswahili? Hivi sisi watanzania tuna matatizo gani au ndiyo ile kasumba ya ukoloni mambo leo bado inatusumbua? We love to copy things hata kama havina maana na kuvibatiza kuwa vyetu. Hapa sitashangaa kama watu wakimuomba Kikwete amwandikie Obama kumwomba awaombe watanzania kuwa na utulivu kunao 2015 kwa kiswahili.
 
Tumeshuhudia siasa za demokrasia za marekani kwa ndani na wanaoitisha amani!! amani!! amani!! ndio wakati mwingi nyuma ya pazia hujenga na kupanga miundo mbinu za ghasia na vurugu wakiikwepa minyororo ya ICC. Si ajabu Obama hotuba yake ni utangulizi ya ile papa 'mtakatifu' aliyosalia kuhotubia siku zilizosalia

Hapa mzeiya naona ukiongea kimafumbo...hebu 'come again' katika kiinglishi kisha nikujibu...
 
Funny thing is our presidents feel shame to speak swahili when he went abroad for official duty. How can he speak english in France where thy speak French. Bora angezungumza kiswahili wakatafsiri kwa kifaransa kuliko kujifanya mzungu akaongea kiingereza kisha wakatafsiri kwa kifaransa.
 
Niliumbuka vibaya nilivyomwambia mume wangu Obama spoke Swahili .Yaani mume wangu alinibishia kabisa alivyorudi kazini tu akaniambia show me the video .Niliumbukaje Natalia " sentensi mbili tu Za Kiswahili ".Jamani najua mnampenda sana Obama but he is overrated .kiswahili kugumu jamani .Nawakenya tangia lini wakajua Kiswahili kutwaaa "sasa ,niaje,ukuje"
 
Yaani kwa kuwa Obama ndo kasema 'habari zenu' na 'kwaherini', basi ndo wakenya wapo juu kwa kiswahili? Hivi sisi watanzania tuna matatizo gani au ndiyo ile kasumba ya ukoloni mambo leo bado inatusumbua? We love to copy things hata kama havina maana na kuvibatiza kuwa vyetu. Hapa sitashangaa kama watu wakimuomba Kikwete amwandikie Obama kumwomba awaombe watanzania kuwa na utulivu kunao 2015 kwa kiswahili.
Kumuomba awe raisi wa Africa hiyo ndio next.Obama anajua kila kitu second to God.Angalia legacy Nyerere wanauchukulia kimchezomchezo .Obama is better than Nyerere na Mandela kuna watu walisema humu .
 
CULTURAL IMPERIALISM,ndio wale akiambiwa kazi nzuri na bosi Mzungu basi siku hiyo halali kwa furaha,lakini same words akiambiwa na bosi mswahili anaona ni kawaida.Utamsikia kwenye pombe hata bosi Mzungu kanikubali kazi zangu......

Mtu akiolewa na mzungu Eti
Uko juu.yaani it's very sad
 
Yaelekea hufuatilii matukio, mbona raisi mstaafu Chisano wa Nchumbiji alikuwa anaongea kiswahili mwanzo mwisho katika hotuba zake,
 
SERIKALI ya Kenya inatafuta ufafanuzi kutoka kwa Serikali ya Marekani juu ya uhusiano baina yao mara baada ya uchaguzi mkuu kufanyika Machi 4. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mkuu wa Utumishi wa Umma na Katibu wa Baraza la Mawaziri Francis Kimemia, alisema kuwa Serikali ya Kenya inamkaribisha kiongozi huyo kama alivyotoa tamko kwamba yupo tayari kufanya kazi na kiongozi yeyote ambaye watamchagua kama rais.

Kimemia alisema kuwa serikali inalazimika kutafuta ufafanuzi juu ya msimamo huo wa Marekani kama una ukweli baada ya Katibu Msaidizi wa wa masuala ya mahusiano Afrika, Johnnie Carson ambaye alitoa onyo kuwa chaguo la wakenya litasababisha madhara.

Hotuba hiyo iliyotolewa na Carson ilitafsiriwa na Serikali ya Kenya kama ni onyo na kwamba kutokana na uhusiano na nchi hiyo inawezekana wakapitisha Naibu Waziri Mkuu, Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza wake, William Ruto kuweza kuchaguliwa katika ofisi ya juu.

Viongozi hao Kenyatta na Ruto wanakabiliwa na makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu katika mashtaka Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Kimemia alisema kuwa hotuba ya Carson ilikwenda kinyume na ile ya Rais Obama ambaye aliwahakikishia wakenya kuwa Serikali ya Marekani ilikuwa tayari kufanya kazi na mgombea yeyote ambaye Wakenya watamchagua.

Katika ujumbe aliotoa Rais Obama kwa njia ya video siku ya Jumanne, aliwahahakikishia wakenya kuwa Marekani haitoingilia mgombea yeyote ambaye atachaguliwa na wananchi wake katika uchaguzi huo mkuu.

Lakini kwa upande wake Carson, katika hotuba yake alisema kuwa uchaguzi ambao utafanyika utakuwa na madhara hali ambayo ilichukuliwa kama ni onyo na wananchi wa Kenya na kuwataka wananchi kuwa makini juu ya uchaguzi wao na hakumtaja Kenyatta wala Ruto katika hotuba hiyo.
 
Obama nae kwa kuingilia vitu vya watu.wakianza Fujo
Na kumlaumu yeye .Ukabila umezidi kule Shauri yake
 
Kumuomba awe raisi wa Africa hiyo ndio next.Obama anajua kila kitu second to God.Angalia legacy Nyerere wanauchukulia kimchezomchezo .Obama is better than Nyerere na Mandela kuna watu walisema humu .

Really? And what has Obama done for Africa since his election?
 
Hivi hii serikali ya Kenya ni Jubilee,sasa wanahoji nini mbona Obama aliposema hakuna ambaye ni chaguo la Marekani ,tuliwasikia akina Uhuruto wakishangilia kama watoto waliopewa peremende na hatukusikia serikali ya Kenya(Jubilee) ikita ufafanuzi,serikali inataka ufafanuzi wa nini toka lini mtu/watu binafsi akawa serikali.Kwani kuambiwa hayo mataifa hayatashirikiana na Kenya iwapo watuhumiwa wawili wata ukwaa uraisi,sasa hapo serikali inataka ufafanuzi gani.Nchi za magharibi na Marekani zimesema wazi hilo swala ni la binafsi,na si serikali,shauri yenu mtakuwa Zimbabwe ya pili.
 
Niliumbuka vibaya nilivyomwambia mume wangu Obama spoke Swahili .Yaani mume wangu alinibishia kabisa alivyorudi kazini tu akaniambia show me the video .Niliumbukaje Natalia " sentensi mbili tu Za Kiswahili ".Jamani najua mnampenda sana Obama but he is overrated .kiswahili kugumu jamani .Nawakenya tangia lini wakajua Kiswahili kutwaaa "sasa ,niaje,ukuje"

Bado amejitahidi maana kiswahili sio lugha yake yeye ni mmarekani na marekani wanazungumza kiingireza cha kwao. Kinachoniumiza ni kuwa kwa nini rais wetu akienda ziara zake anang'ang'ania kuzungumza kiingereza hata sehemu ambako hawazungumzi kiingereza kama ufaransa na kwingineko. Anazungumza kiingereza kisha wanatasfiri kwa lugha yao ili waweze kuelewa kwa nini asizungumze kiswahili kisha wakatafsiri kwa lugha yao. Mbona wao wakija kwetu wanabonga lugha zao kisha tunatafasiri kwa lugha yetu.

Bado ninamsifia Obama maana kajaribu kuzungumza lugha ya watu wa Afrika Mashariki wakati akiwapa ujumbe wakenya ambao ni sehemu ya Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom