The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Hujamwelewa boss!! kama jamaa anaamini utabiri wa TB Joshua kwa Bingu wa Mutharika, basi aamini na utabiri wa TB joshua kwa Lowassa!!
They guys was just teasing his mind
umekuja na mijimaneno hayo!
aisee asante sana mkuu
bora wewe ulienielewa...
watu wengine are. funny.....
wanasema ukigundua 'unachoumwa' umeshaanza kupona...lol...
