TANZIA President Bingu wa Mutharika of Malawi is dead!

TANZIA President Bingu wa Mutharika of Malawi is dead!

mzee sana ni Mugabe angechemka yeye kwanza. Hata hivo Mungu ana mambo yake muhimu unabii umetimia.
 
Wa malawi wajinga. nchi gani eti akaunti ya raisi ndiyo ya serikali.
 
Nadhani Utajiri wa Nabii Joshua utaongezeka mara dufu
 
Aim sorry guys i just cant buy ! it the whole thing of utabiri ..!!! inawezekana alijua afya ya mzee na ugonjwa anaumwa .. kwani hata madactari huwa wanauwezo wa kuwaambia wagonjwa wao wenye magonjwa sugu ni muda gani wataishi duniani esp. cancer patients ... na unaposema unabii una maana gani...?!!! kwanini usiseme unajimu!...! kuna tofauti gani unajimu huu na wa yule wa mzee wa magomeni ..?!! ...

Tunasubiri la lowassa kuwa Rais kama alivyonajimu TB J!....

I always believe there is a big money in GODS business... Jamaa alisoma nyakati... akapanda hewani eti ni utabiri wake! ...

Basi Mi natabari kifo cha CCM arusha mjini uchuguzi ukirudiwa!...


RIP Mr President ....
 
we liked ngwazi 1st term but hatred has invaded our hearts in 2nd term rest in problems BINGU nilitupia baada yakusoma link aliyotupia rafiki yangu kwenye facebook,kupata ukweli soma nyasatimes,nami natabili waziri moja africa mashariki atafia nje ya nchi yake
 
Ndio alifariki tangu jana, na usiku wa leo walisafisha kwenda Afrika kusini akiwa mufu japo waliwaficha wananchi wa malawi!
 
natabiri WAZIRI MKUU moja wa africa mashariki ataugua kipindi hiki chamasika,TB kwanini asitaje mojakwamoja kwamba BINGU atakufa mwezi huu?
 
Reuters) - Malawi President Bingu wa Mutharika has died after a heart attack, medical and government sources said on Friday.

r

The 78-year-old was rushed to a Lilongwe hospital on Thursday after collapsing but was dead on arrival, the sources said.
The constitution makes clear that Vice-President Joyce Banda is first in line to take over as head of state in the impoverished southern African nation, although Banda's expulsion from the ruling party in 2010 may complicate the transition.
Mutharika, a former World Bank economist who had been accused of despotism and mishandling the economy in his final months, appeared to have been grooming his Foreign Minister brother Peter as his successor.
Peter Mutharika had tended to deputize in his brother's absence.
Police deployed in force across the capital on Thursday after Mutharika's admission to hospital, while 15 army officers took up position around Banda's residence, witnesses said.
Before his death, Mutharika's condition drew little sympathy on the streets of Blantyre, the commercial capital, where many people viewed him as an autocrat responsible for chronic shortages of fuel, food and foreign exchange.
"Perhaps the end of our suffering is also nigh," said Benson Msiska, a taxi driver stuck in a long queue for petrol in the southern city.
(Reporting by Mabvuto Banda; Editing by Ed Cropley)
 
[h=1]Malawi President Bingu wa Mutharika 'dead'[/h]
_51606573_fa1d16c0-9c6c-4f82-b0b8-ab66ddd94f78.jpg

President Bingu wa Mutharika of Malawi has died, doctors and cabinet ministers have told the BBC, but this has not been officially confirmed.
One of the doctors who treated Mr Mutharika said the president was "clinically dead" on Thursday after suffering a cardiac arrest.
State media are still reporting that he has been flown to South Africa for medical treatment.
If confirmed, his death would spark a constitutional crisis, analysts say.
According to the constitution, the vice-president takes over if the head of state is incapacitated or dies in office.
But Vice-President Joyce Banda and Mr Mutharika fell out after a row over the succession in 2010, and she was expelled from the ruling party.
The BBC's Raphael Tenthani in the main city, Blantyre, says that ministers have been meeting all night to discuss the situation.
The doctors and ministers say that Mr Mutharika's body was taken to South Africa while a decision is taken about what to do next.
 
Pole kwa taifa la Malawi! Naona utabiri wa T.B Joshua umetimia
 
daaaah!!! Simwamin wala siamin watu wanaojiita watabiri lakini kwa hili naanza kumfikiria upya huyu Joshua maana kanishangaza aisee
 
Prophecy fulfilled, mimi naamini alifariki toka jana ila serikali yake ikawa inafanya cover up kujipa muda wa kuabsorb shock. Hii leo ndo wameamua kutangaza rasmi kwa dunia kuwa hatunaye tena.
 
Back
Top Bottom