TANZIA President Bingu wa Mutharika of Malawi is dead!

TANZIA President Bingu wa Mutharika of Malawi is dead!

Kama unamuamini mungu..hupaswi kuwaamini hawa wahuni akina t.b. Joshua!
 
utabiri wake hauna tofauti na wa sheikhe yahya hussein, wote wanatumia nguvu za giza
 
Kama unamuamini mungu..hupaswi kuwaamini hawa wahuni akina t.b. Joshua!

Mimi huwa nawasisi na uelewa wa mtu kama huyu machakani, Unajua kukiongelea kitu ambacho hujui huna uhakika nacho
hata kama wewe kile unachokiamini ni ukweli unakijua na kukidhibitisha basi mambo mengine yaache usiwe upande wowote.

Lakini haya mambo ya Kuropoke iposiku yatawatokea mapuani.

TB Joshua yupo anasema yeye ni nabii, sasa kama ni kweli Mungu atamthibitisha.

kwasababu zipo nguvu mbili, Kuna Mungu na kuna shetatwani sasa kama TB Jushua atatuthibitishia kama huo uwezo ni wake au lah kama anasema ni wake hapo mimi sijui lkn kama anasema ni wa Mungu kikwelikweli basi ni wa Mungu,

Sheikh yahaya mbona alikuwa anatoa tabiri ila alikuwa atumii jina la Yesu alikuwa anatoa tabiri anavyo jua yeye na Mungu wake wala sijui inakuwaje so siwezi kumhukumu ila nature ita take place ndio maana kuna waislam wengine walimpinga na wengine walimuunga mkono.

Vivyo hivyo TB Joshua anaombea watu kwa jina la Yesu na wanapona na tunaona pia imeandikwa na ilisemwa na Yesu kuwa "Kwa jina langu mtaombea watu nao watapona"

kama TB Joshua anaombea watu kwa jina la Yesu aliye kufa na kufufuka basi ilo sio jipya maana iliandikwa miaka kibao iliyopita wewe utakaekuja na kudanganya watu mbinu zako hazitafika popote

Kwanini Yesu alifanya Ishara na maajabu ? ili watu wasadiki kwasababu Mungu anajua sisi binadamu ni viumbe wenye akili ya kufikilia ndio maana alifanya ishara na maajabu pamoja na yote hayo still shetani nae anao uwezo wa kufanya
ishara na maajabu pia ila sasa shetani hana uwezo kama walio nao watu wa MUngu.
 
Aim sorry guys i just cant buy ! it the whole thing of utabiri ..!!! inawezekana alijua afya ya mzee na ugonjwa anaumwa .. kwani hata madactari huwa wanauwezo wa kuwaambia wagonjwa wao wenye magonjwa sugu ni muda gani wataishi duniani esp. cancer patients ... na unaposema unabii una maana gani...?!!! kwanini usiseme unajimu!...! kuna tofauti gani unajimu huu na wa yule wa mzee wa magomeni ..?!! ...

Tunasubiri la lowassa kuwa Rais kama alivyonajimu TB J!....

I always believe there is a big money in GODS business... Jamaa alisoma nyakati... akapanda hewani eti ni utabiri wake! ...

Basi Mi natabari kifo cha CCM arusha mjini uchuguzi ukirudiwa!...


RIP Mr President ....

(Reuters) - Malawi President Bingu wa Mutharika has died after a heart attack, medical and government sources said .


The 78-year-old was rushed to a Lilongwe hospital on Friday after collapsing but was dead on arrival, the sources said.

Need we say more!
 
R.I.P [h=1]President Bingu wa Mutharika[/h]
 
Raisi wa malawi amefariki kama Ilivyo tabiriwa na Nabii TB joshua kuwa nadani ya siku 60 kiongozi mzee Afrika atafariki dunia Raisi huyo asubui alikuwa maututi lakaini habari za saivi zinasema ameshafariki source reuters

r


(Reuters) - Malawi President Bingu wa Mutharika has died after a heart attack, medical and government sources said .


The 78-year-old was rushed to a Lilongwe hospital on Friday after collapsing but was dead on arrival, the sources said.

alimlenga mgabe, kwani ndiye mzee kuliko bingwa, na katawala miaka mingi zaidi kuliko wengine wote
 
mimi niliona live misa aliyokuwepo lowassa, tb hakumtabiria chochote wabongo wazushi sana, wala hakuongea naye kumpa profecy. wabongo acheni uongo khaaaa.

Je, kuna tofauti kati ya utabiri(prediction) na unabii (prophecy)? naona maneno haya yanatumika ndivyo sivyo. Naomba kujifunza.
 
Utabiri upi?wa lowassa?

Haaahaa! Kuna watu wanaota kweli na mambo ya kina watu kama Nabii Joshua yanawafanya wawe so happy in this world. Wanapenda waambiwe yote wanayotaka kuyasikia. But I think wengine ni wabishi kweli kuamini haya mambo ya hadithi hadithi. Mutharika hakuwa mfuasi wa Joshua? The guy's day to go where he belongs reached its point. Let him rest in peace...he thought he owned Malawi I guess.
 
If I am terribly wrong, I will 'terribly' keep quiet

sometimes it is good to listen than talking. Hasa pale unapokuwa huna uhakika na jambo.Lakn usifanye hivo kwa kuogopa.Kuwa jasiri na simamia ukweli kwani ukweli siku zote humuweka mtu huru.
 
watoto wa mamdogo ni noma, angekuwa sheikh yaya mngesema kweli katabiri.
Moja ya nguzo za imani katika Uislaam ni kuamini kuwa ''heri na shari vyote vyatokana na M'Mungu''
TB Joshua na Yahaya wote ni matapeli tuu !
 
Rais wa Malawi
Bingu wa Mutharika aliyekuwa
amelazwa hospitalini mjini
Lilongwe baada ya kupatwa
na mshutuko wa moyo
amefariki dunia, madaktari na vyanzo vya serikali vimeeleza
leo.

Kiongozi huyo aliyekuwa na
umri wa miaka 78
alikimbizwa hospitali moja
mjini Lilongwe baada ya
kuanguka jana asubuhi na
alifariki alipowasili hospitalini hapo, vyanzo vimeeleza. Katiba ya taifa hilo inampa
uwezo Makamu wa Rais, Joyce
Banda kuongoza endapo rais
ameondoka madarakani kwa
namna moja au nyingine, japo

Makamu huyo alitimuliwa na Bingu kwenye chama hicho
tawala mwaka 2010, jambo
ambalo linaweza kuleta
mageuzi makubwa katika
uongozi nchini humo.

Mungu alitoa, Mungu ametwaa Jina lake liabudiwe.
 
Sure: Hata Vyombo vya Habari Malawi vimeandika juu ya huo utabiri:

Wa Mutharika in sudden health problem

Thursday, April 5th, 2012 | Post By 27 LILONGWE (Malawi Democrat)

Malawi President Bingu wa Matharika was taken to Kamuzu Central Hospital Thursday after a “sudden health problem”. Medical sources said the President who was in Intensive Care Unit would need to be flown abroad, where better medical care is available. There is heavy security at the hospital in Lilongwe. The development comes at a time when popular Nigerian prophet Temitope Balogun Joshua (TB Joshua) has stated that his prophecy of the death of an old African president is imminent. The prophet this week reiterated his February prophecy on the imminent death of an African leader at his Synagogue Church of All Nations (Scoan) headquarters in Nigeria. He was reported as saying then: “I’m seeing a head of state, by that I mean a president. He is not feeling well. He is very old. What is this I am seeing… sudden death. I am seeing the death of an old African president.” Wa Mutharika is among a band of geriatrics and elderly leaders in Africa who include Cameroonian Paul Biya, Angola’s Eduardo Dos Santos, Zimbabwe’s president Robert Mugabe, Yoweri Museveni of Uganda and newly elected Zambian leader Michael Sata.

Source: malawidemocrat.com/politics/wa-mutharika-in-sudden-health-problem/
 
TB JOSHUA,si ndiko alikoenda pia huyu EL?????
 
Back
Top Bottom