Hujamwelewa boss!! kama jamaa anaamini utabiri wa TB Joshua kwa Bingu wa Mutharika, basi aamini na utabiri wa TB joshua kwa Lowassa!!
They guys was just teasing his mind
umekuja na mijimaneno hayo!
utabiri wake hauna tofauti na wa sheikhe yahya hussein, wote wanatumia nguvu za giza
Hapo kunahitaji utabiri gani wakati hao maraisi wengi ni wazee na hata ile life expectancy ya waafrika ambayo ni miaka arubaini wameshaipita?
Angalia vizee hivi: Madiba, Mugabe, Bingu, Mwinyi, Wade, Kaunda, Mubarak.... sasa ukitabiri mmoja kati yao atakufa na akafa kweli ndiyo umekuwa mtabiri mahiri?