President Donald Trump tells Maduro, step down and leave the country NOW!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Rais wa communist Venezuela, Maduro ameomba amnesty kwa Rais wa Marekani Donald Trump kwa yeye, familia na watu wake wa karibu, lakini Trump amemkatalia na ametakiwa kuachia madaraka na kuondoka Venezuela haraka iwezekanavyo vinginevyo ataondolewa kwa nguvu

Tayari airspace ya Venezuela imeshafungwa, imenikumbusha Sadam Hussein alivyopewa saa 48 na Bush kuondoka na watoto wake akabisha matokeo yake akanyongwa na waarabu wenziwe tena live on television

1764575366997.png

1764661818208.png
 
Why USA Wana mamlaka ya kumtoa mtu madarakani , mbona wao hakuna mtu anayewatoa raisi wao, yaani hii ni calculated move wakati Russia amewekwa busy na Ukraine sijui NATO, Syria USA wanafanya lao, saivi Tena na Venezuela wanafanya yao. So wananchi hawana furaha na huyo na Maduro ama anafanya ambayo USA hawataki
 
Yale yale waliyofanya USA tangia enzi na enzi na kupelekea watu kuwachukia (destabilizing serikali za watu) kwa kuwaingilia jambo ambalo Trump alisema hatafanya
 
Why USA Wana mamlaka ya kumtoa mtu madarakani , mbona wao hakuna mtu anayewatoa raisi wao, yaani hii ni calculated move wakati Russia amewekwa busy na Ukraine sijui NATO, Syria USA wanafanya lao, saivi Tena na Venezuela wanafanya yao. So wananchi hawana furaha na huyo na Maduro ama anafanya ambayo USA hawataki
Madictator wajinga kama SSH piga hesabu wasingekuwa wanashughulikiwa na US ,wewe unadhani dunia ingekuwa sehemu salama??
 
Why USA Wana mamlaka ya kumtoa mtu madarakani , mbona wao hakuna mtu anayewatoa raisi wao, yaani hii ni calculated move wakati Russia amewekwa busy na Ukraine sijui NATO, Syria USA wanafanya lao, saivi Tena na Venezuela wanafanya yao. So wananchi hawana furaha na huyo na Maduro ama anafanya ambayo USA hawataki

pmj na kwamba mimi ni pro USA lkn pia naona kama USA hu-attack vibonde, mbona hafanyi regime change russia au china? kama ni drugs hizo fentanyl wanasema zinatokea china huko ndiko alipaswa kuattack lkn anajua siyo rahisi hivyo ana attack the weak and poor, yaani super power anatumia overwhelming force kuonyesha umwamba wake kwa ku attack third world country? hapo hata mimi nashindwa kuelewa ...
 
hata uganda kipindi cha idd amin,tanzania ilisaidia uganda ikombolewe.Kwani mchepuko unatokea wapi
 
pmj na kwamba mimi ni pro USA lkn pia naona kwamba USA hu-attack vibonde, mbona hafanyi regime change russia au china? kama ni drugs hizo fetanyl zinatokea china huko ndiko alipaswa kuattack lkn anajua siyo rahisi hivyo ana attack the weak, yaani super power anatumia overwhelming force kuonyesha umwamba wake kwa ku attack third world country hapo hata mimi nashindwa ...
Drugs ni sababu ya Maduro kubondeka,Maduro anakandamiza raia wake kama serikali haramu ya hapa Tanzania iliyojipachika madarakani kwa nguvu
 
pmj na kwamba mimi ni pro USA lkn pia naona kama USA hu-attack vibonde, mbona hafanyi regime change russia au china? kama ni drugs hizo fentanyl wanasema zinatokea china huko ndiko alipaswa kuattack lkn anajua siyo rahisi hivyo ana attack the weak and poor, yaani super power anatumia overwhelming force kuonyesha umwamba wake kwa ku attack third world country? hapo hata mimi nashindwa kuelewa ...
Huyu mzee ana mambo ya kise.nge sana...
 
Kwani Venezuela ni Koloni la US?
Duniani hakuna Haki Walahi..
 
Drugs ni sababu ya Maduro kubondeka,Maduro anakandamiza raia wake kama serikali haramu ya hapa Tanzania iliyojipachika madarakani kwa nguvu
Mbona haji huku au nasi tuanze kupeleka madawa usa ndio ata kuja?

Tunayo uranium na hata rare minerals, watupe msaada tuwaondoe ccm na polisi wao.
 
Back
Top Bottom