MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Masikini mshikaji wangu Maduro kama namuona anavyoingalia nchi yake kwa huruma huku anajiondokea masikini zake .Dah watu ni wababe sana yaani USA wabaya mno
Kama una nafasi ya kumfikia mwambie, sisi atupe silaha tu hatuhitaji madini wala mafuta.Itabid tumshawishi trump
Hakuna cha madikteta wala nini.Madictator wajinga kama SSH piga hesabu wasingekuwa wanashughulikiwa na US ,wewe unadhani dunia ingekuwa sehemu salama??
Aaah wapi sio rahisi hivyo mkuu. Hiyo mikwara tu.Masikini mshikaji wangu Maduro kama namuona anavyoingalia nchi yake kwa huruma huku anajiondokea masikini zake .Dah watu ni wababe sana yaani USA wabaya mno
Na juzi hapa ulikuwa unamshangilia kwa kuitishia Nigeria kwa kuwa inakufurahisha kwa kutetea imani yako waliokulutea hao hao wazungupmj na kwamba mimi ni pro USA lkn pia naona kama USA hu-attack vibonde, mbona hafanyi regime change russia au china? kama ni drugs hizo fentanyl wanasema zinatokea china huko ndiko alipaswa kuattack lkn anajua siyo rahisi hivyo ana attack the weak and poor, yaani super power anatumia overwhelming force kuonyesha umwamba wake kwa ku attack third world country? hapo hata mimi nashindwa kuelewa ...
Serikali ya Maduro sio Serikali ya raia wa Venezuela, wamajiweka tu kwa lazima.Yale yale waliyofanya USA tangia enzi na enzi na kupelekea watu kuwachukia (destabilizing serikali za watu) kwa kuwaingilia jambo ambalo Trump alisema hatafanya
Unaongea unaropoka bro huongei point.Tukubali russia na mchina bado wachovu sana kwa US, na ndumilakuwili usiwategemeaa..
yaani wa us na ulaya wanampa ukrauine silaha mbele yake putin anaona na zinatumiwsa kuua warussia lakini hana ujanja
Na hapohapo putin hakumsadia Iran na leo hii hamsaidii venezuela anaeenda kula kichapo na us, ni aibu sana kwa putin
Sio kazi ya USA kupangia watu Serikali yao ? Na wala raia wa USA hawapendi kuona hicho kinafanyika MAGA supporters walimteua Trump hiyo ikiwa moja ya sera zake (kutoingilia wengine wala kuanzisha vita) - Ingawa hawa MAGA hawajui since begging of time hio ndio moja ya Sera za USA kujipatia rasilimali (one of the main CIA jobs na destruction yake moja ni kutuletea kina Ayatollah wa leo huko IRAN)Serikali ya Maduro sio Serikali ya raia wa Venezuela, wamajiweka tu kwa lazima.
Rais wa communist Venezuela, Maduro ameomba amnesty kwa D.Trump kwa yeye, familia na watu wake wa karibu, lkn D.Trump amemkatalia na ametakiwa kuachia madaraka na kuondoka Venezuela haraka iwezekanavyo vinginevyo ataondolewa kwa nguvu
Tayari airspace ya Venezuela imeshafungwa, imenikumbusha Sadam Hussein alivyopewa saa 48 na Bush kuondoka na watoto wake akabisha matokeo yake akanyongwa na waarabu wenziwe tena live on television
View attachment 3509869
View: https://x.com/defense_civil25/status/1994971002699481495
Homeland security wametoa fake newsunaelewa hata maana ya fakenews kwanza? hiyo ni tweet kutoka US homeland security unawezaje kuiita fakenews? ...
Homeland security wametoa fake news
Maduro kaweka tayari makombora 5k,andaa wananchi rika tofauti kwa vita,jeshi liko alert halafu aombe amnesty!?
Chanzo chao chanzo chakona hii nayo ni fakenews?
![]()
Trump rejected Maduro requests on call, options narrow for Venezuela leader, sources say
Venezuela's President Nicolas Maduro is running out of options to step down and leave his country.www.reuters.com
Mungu atuweke na siha njema,atuepushie mitihani tufike hiyo ijumaabasi subiri deadline ya ijumaa ipite halafu uone kitakachompata communist maduro kama hajaondoka na familia yake ...
VEnezuela ni 3rd world country mkuu.?pmj na kwamba mimi ni pro USA lkn pia naona kama USA hu-attack vibonde, mbona hafanyi regime change russia au china? kama ni drugs hizo fentanyl wanasema zinatokea china huko ndiko alipaswa kuattack lkn anajua siyo rahisi hivyo ana attack the weak and poor, yaani super power anatumia overwhelming force kuonyesha umwamba wake kwa ku attack third world country? hapo hata mimi nashindwa kuelewa ...
VEnezuela ni 3rd world country mkuu.?