super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Vipi keshashambulia???
Nimemsoma jamaa nikabaki kushangaa tu hiyo kesi ya madawa anayopewa Maduro haipo wazalishaji wakubwa wa madawa huko ni Colombia ila kesi kapewa Maduro na Wananchi wa carribean wakikimbia Nchi kutumia boat za wavuvi Trump anawaua akidai wauza sumu na wauza sumu wakubwa wapo hapo Mexico city..Hakuna cha madikteta wala nini.
USA amekua akuharibu mataifa ya watu kila leo.
Hiyo Venezuela imeanza kuandamwa tangu 2002 ilipoamuru majeshi ya USA yaondoe kambi zake Venezuela.
Muwe munafuatilia mambo sio kukurupuka.
USA anachokitafuta ni regime change ili arejeshe majeshi yake Venezuela na avune mafuta.
Myanmar kuna madikteta mbona hajaenda kuwatoa!?
usiongee kama umekatwa kicwa! We unajua wangapi duniani hawamjui(achilia mbali kumkubali)?Ukatili dhidi ya binadamu utaisha lini duniani? Suluhisho pekee ni kumpokea na kumkubali Bwana Yesu kuwa ndiye Bwana na mwokozi.
Nicolas Maduro ameliandaa jeshi kwa vita.Nimemsoma jamaa nikabaki kushangaa tu hiyo kesi ya madawa anayopewa Maduro haipo wazalishaji wakubwa wa madawa huko ni Colombia ila kesi kapewa Maduro na Wananchi wa carribean wakikimbia Nchi kutumia boat za wavuvi Trump anawaua akidai wauza sumu na wauza sumu wakubwa wapo hapo Mexico city..
USA walitengeneza movie wanataka yule Mama wampe Urais ili warudishe ngome zao na kumtoa Mrusi na Mchina pale kwenye ishu ya kuzoa mafuta.
Walianza na Rais wa Colombia wakaona Colombia hana maslahi kwao ndio maana wameamia kwa Maduro wanataka kumuweka yule mama ila wakiingia kwa Maduro vita itakua kubwa kidogo..Nicolas Maduro ameliandaa jeshi kwa vita.
Pia Maduro ni Rafiki mkubwa wa Ayatollah Khomeini lazima atamsaidia silaha kwenye hiyo Vita.
Pia Colombia walitoa tamko wakasema USA ikijiingiza vitani dhidi ya Venezuela basi Colombia itaingia moja kwa moja dhidi ya USA.
Mataifa siku hizi yamekataa kuwa wanyonge. Hizi vuguvugu tangu 2002 walizianza USA.Walianza na Rais wa Colombia wakaona Colombia hana maslahi kwao ndio maana wameamia kwa Maduro wanataka kumuweka yule mama ila wakiingia kwa Maduro vita itakua kubwa kidogo..
Kuna mtu aliyekukataza wewe kumuondoa yeyote madarakani? Kama huwezi ni juu yako....Mwenye nguvu atatawala. Msubiri Manyonyo wenu akamatwe.Why USA Wana mamlaka ya kumtoa mtu madarakani , mbona wao hakuna mtu anayewatoa raisi wao, yaani hii ni calculated move wakati Russia amewekwa busy na Ukraine sijui NATO, Syria USA wanafanya lao, saivi Tena na Venezuela wanafanya yao. So wananchi hawana furaha na huyo na Maduro ama anafanya ambayo USA hawataki