Madictator wajinga kama SSH piga hesabu wasingekuwa wanashughulikiwa na US ,wewe unadhani dunia ingekuwa sehemu salama??Why USA Wana mamlaka ya kumtoa mtu madarakani , mbona wao hakuna mtu anayewatoa raisi wao, yaani hii ni calculated move wakati Russia amewekwa busy na Ukraine sijui NATO, Syria USA wanafanya lao, saivi Tena na Venezuela wanafanya yao. So wananchi hawana furaha na huyo na Maduro ama anafanya ambayo USA hawataki
Why USA Wana mamlaka ya kumtoa mtu madarakani , mbona wao hakuna mtu anayewatoa raisi wao, yaani hii ni calculated move wakati Russia amewekwa busy na Ukraine sijui NATO, Syria USA wanafanya lao, saivi Tena na Venezuela wanafanya yao. So wananchi hawana furaha na huyo na Maduro ama anafanya ambayo USA hawataki
Drugs ni sababu ya Maduro kubondeka,Maduro anakandamiza raia wake kama serikali haramu ya hapa Tanzania iliyojipachika madarakani kwa nguvupmj na kwamba mimi ni pro USA lkn pia naona kwamba USA hu-attack vibonde, mbona hafanyi regime change russia au china? kama ni drugs hizo fetanyl zinatokea china huko ndiko alipaswa kuattack lkn anajua siyo rahisi hivyo ana attack the weak, yaani super power anatumia overwhelming force kuonyesha umwamba wake kwa ku attack third world country hapo hata mimi nashindwa ...
Huyu mzee ana mambo ya kise.nge sana...pmj na kwamba mimi ni pro USA lkn pia naona kama USA hu-attack vibonde, mbona hafanyi regime change russia au china? kama ni drugs hizo fentanyl wanasema zinatokea china huko ndiko alipaswa kuattack lkn anajua siyo rahisi hivyo ana attack the weak and poor, yaani super power anatumia overwhelming force kuonyesha umwamba wake kwa ku attack third world country? hapo hata mimi nashindwa kuelewa ...
Tutafanya hila na uku kwa uvccm ajeYale yale waliyofanya USA tangia enzi na enzi na kupelekea watu kuwachukia (destabilizing serikali za watu) kwa kuwaingilia jambo ambalo Trump alisema hatafanya
πππ Huku wanajichoteq bila vikwazo that's why hauoni akiijia juu serikali ya mboga mbogaSi uje na huku kuna uranium
Mbona haji huku au nasi tuanze kupeleka madawa usa ndio ata kuja?Drugs ni sababu ya Maduro kubondeka,Maduro anakandamiza raia wake kama serikali haramu ya hapa Tanzania iliyojipachika madarakani kwa nguvu
Itabid tumshawishi trumpMbona haji huku au nasi tuanze kupeleka madawa usa ndio ata kuja?
Tunayo uranium na hata rare minerals, watupe msaada tuwaondoe ccm na polisi wao.
Akili za maskiniUkatili dhidi ya binadamu utaisha lini duniani? Suluhisho pekee ni kumpokea na kumkubali Bwana Yesu kuwa ndiye Bwana na mwokozi.
Samuya Sahani SululuAngempigia na huku mama yangu Rais Samia Hassan Suluhu, maana wahuni wana mmbananga kweli kweli hadi kumchosha mama watu