President Donald Trump tells Maduro, step down and leave the country NOW!

Nimemsoma jamaa nikabaki kushangaa tu hiyo kesi ya madawa anayopewa Maduro haipo wazalishaji wakubwa wa madawa huko ni Colombia ila kesi kapewa Maduro na Wananchi wa carribean wakikimbia Nchi kutumia boat za wavuvi Trump anawaua akidai wauza sumu na wauza sumu wakubwa wapo hapo Mexico city..
USA walitengeneza movie wanataka yule Mama wampe Urais ili warudishe ngome zao na kumtoa Mrusi na Mchina pale kwenye ishu ya kuzoa mafuta.
 
Nicolas Maduro ameliandaa jeshi kwa vita.
Pia Maduro ni Rafiki mkubwa wa Ayatollah Khomeini lazima atamsaidia silaha kwenye hiyo Vita.
Pia Colombia walitoa tamko wakasema USA ikijiingiza vitani dhidi ya Venezuela basi Colombia itaingia moja kwa moja dhidi ya USA.
 
Walianza na Rais wa Colombia wakaona Colombia hana maslahi kwao ndio maana wameamia kwa Maduro wanataka kumuweka yule mama ila wakiingia kwa Maduro vita itakua kubwa kidogo..
 
Walianza na Rais wa Colombia wakaona Colombia hana maslahi kwao ndio maana wameamia kwa Maduro wanataka kumuweka yule mama ila wakiingia kwa Maduro vita itakua kubwa kidogo..
Mataifa siku hizi yamekataa kuwa wanyonge. Hizi vuguvugu tangu 2002 walizianza USA.
Ila Maduro mkazaji tena haswa.
 
Kuna mtu aliyekukataza wewe kumuondoa yeyote madarakani? Kama huwezi ni juu yako....Mwenye nguvu atatawala. Msubiri Manyonyo wenu akamatwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…