UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Hv rais mstaafu hayati mwl julius k. nyerere, rais mstaafu ali hassan mwinyi na rais mstaafu benjamin william mkapa hawajawahi kutunukiwa u dokta ama u professeri?! Maana sijawahi kusikia wakiitwa u dokta ama u professeri!
Mbona huyu rais wa sasa wa angani mh sana dokta professeri wa kichina kwa muda mfupi sana amejinyakulia ma honorarios za kufa mtu??!!
Mbona huyu rais wa sasa wa angani mh sana dokta professeri wa kichina kwa muda mfupi sana amejinyakulia ma honorarios za kufa mtu??!!