MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
Wiki hii mh: rais Jakaya mrisho kikwete.
Ametunukiwa cheti cha uprofesa wa kilimo nchini china kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini.
Sasa rais kikwete atakuwa akitambulika kama profesa jakaya kikwete!
Je una lipi la kusema?
Halafu ninyi watanzania wenzangu kama uprofesa ni rahisi kiasi hiki jamani mbona mimi hamnituniku wajameni!!!